-
Kiongozi Muadhamu atilia mkazo wajibu wa kupambana na wavamizi
Jan 09, 2025 03:21Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, amesisitizia wajibu wa kupambana na uvamizi wa Marekani nchini Iraq. Ametoa mwito huo wakati alipoonana na Waziri Mkuu wa Iraq na ujumbe alioongozana nao waliokwenda kumtembelea ofisini kwake hapa Tehran jana Jumatano.
-
Mashinikizo kwa serikali ya Iraq ya kuvunja Hashd al-Shaabi
Jan 07, 2025 10:50Mashinikizo ya kigeni hususan kutoka Marekani yameongezeka kwa serikali ya Iraq ili kuivunja Harakati ya Wananchi ya Hashd al-Shaabi.
-
Malengo ya Marekani ya kuongeza harakati za kijeshi kwenye mpaka wa Iraq na Syria
Jan 04, 2025 12:37Vyanzo vya Iraq vimeripoti kuhusu kuweko harakati kubwa za kijeshi za Wamarekani kwenye mpaka wa nchi hiyo na Syria na muendelezo wa uhamishaji wa vifaa na zana za kijeshi kwenye vituo vyao huko Iraq.
-
Taarifa ya Hizbullah ya Iraq katika kumbukumbu ya kuuliwa shahidi Kamanda Soleimani na al Muhandis
Jan 04, 2025 07:45Harakati ya Hizbullah ya Iraq imetoa taarifa ikisisitiza udharura wa kupambana na ubeberu wa dunia katika kumbukumbu ya kuuawa shahidi makamanda mashahidi wa muqawama Luteni jenerali Qassim Soleimani na Abu Mahdi al Muhandis.
-
Nandi-Ndaitwah atangazwa rasmi mshindi wa uchaguzi na kuwa rais wa kwanza mwanamke Namibia
Dec 04, 2024 06:39Namibia imepata rais wake wa kwanza mwanamke baada ya mgombea wa chama tawala cha SWAPO na Makamu wa Rais wa nchi hiyo Bi Netumbo Nandi-Ndaitwah mwenye umri wa miaka 72, kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika wiki iliyopita.
-
Seneta wa Marekani aunga mkono hati ya ICC inayoamuru kukamatwa Netanyahu na Gallant
Nov 22, 2024 07:40Seneta wa Marekani Bernie Sanders ameunga mkono uamuzi uliotoloewa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC jana Alkhamisi wa kuamuru kukamatwa waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na waziri wa zamani wa vita wa utawala huo haramu Yoav Gallant.
-
Sheikh Naim Qassem: Wapiganaji wa Hizbullah ni fakhari inayotetemesha mihimili ya Uzayuni
Nov 14, 2024 07:05Katibu Mkuu wa Hizbullah Sheikh Naim Qassem amewaandikia barua wapiganaji wa harakati hiyo ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon, akiwapongeza kwa mapambano ya kujivunia wanayoyaendeleza katika kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel na waungaji mkono wake.
-
Ayatullah Sistani asikitishwa na kushindwa jamii ya kimataifa kukabiliana na uchokozi wa utawala wa Kizayuni
Nov 05, 2024 07:56Marja' wa ngazi ya juu ya Mashia wa Iraq imeeleza masikitiko yake kuhusu kushindwa jamii ya kimataifa na taasisi husika katika kuzuia hujuma za kikatili za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Palestina na Lebanon.
-
Al-Nujaba: Tutapiga kambi za US, ikiisaidia Israel kuishambulia Iraq
Nov 03, 2024 06:17Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Al-Nujaba ya Iraq amesema, kundi hilo la Muqawama litalenga kambi na vituo vya kijeshi vya Marekani endapo Washington itatoa msaada wowote katika mashambulizi yanayoweza kufanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Iraq.
-
Muqawama wa Kiislamu wa Iraq waendeleza mashambulizi dhidi ya vituo vya wanajeshi wa Kizayuni
Nov 02, 2024 07:20Muqawama wa Kiislamu wa Iraq umetangaza kuwa umekilenga kituo muhimu katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu ya Palestina (Israel).