Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Polisi wa Iraq wagundua mahandaki mawili ya magaidi wa Daesh (ISIS)

    Polisi wa Iraq wagundua mahandaki mawili ya magaidi wa Daesh (ISIS)

    Jun 20, 2018 11:49

    Polisi wa Federali ya Iraq imetangaza leo kuwa, imefanikiwa kugundua mahandaki mawili ya genge la kigaidi la Daesh (ISIS) katika eneo la Khuwaja na kutegua zaidi ya mabomu 10 yaliyokuwa yametegwa kwenye mahandaki hayo.

  • Waziri Mkuu wa Iraq: Waliochoma moto masanduku ya kura wamelenga moja kwa moja usalama na demokrasia yetu

    Waziri Mkuu wa Iraq: Waliochoma moto masanduku ya kura wamelenga moja kwa moja usalama na demokrasia yetu

    Jun 11, 2018 09:36

    Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa, moto uliotokea katika kituo kimoja kikuu cha kuhifadhia masanduku ya kura mjini Baghdad, ni njama zenye lengo la kutoa pigo kwa usalama na demokrasia ya nchi hiyo.

  • Kituo cha kuhifadhia masanduku ya kura za uchaguzi wa bunge la Iraq chateketea kwa moto

    Kituo cha kuhifadhia masanduku ya kura za uchaguzi wa bunge la Iraq chateketea kwa moto

    Jun 10, 2018 22:12

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Iraq imetangaza kuwa kituo cha kuhifadhia masanduku ya kura za uchaguzi wa bunge uliofanyika hivi karibuni nchini humo kimeteketezwa na moto.

  • Harakati ya Nujabaa: Daesh ni mradi wa Marekani kwa ajili ya kufikia malengo yake

    Harakati ya Nujabaa: Daesh ni mradi wa Marekani kwa ajili ya kufikia malengo yake

    Jun 10, 2018 12:18

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Nujaba ya nchini Iraq amesema kuwa, kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) ni njia nzuri ya Marekani kwa ajili ya kufikia malengo yake ya kikoloni na kiuchumi kupitia kisingizio cha kupambana na ugaidi katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Iraq yamtimua mwanadiplomasia wa Saudia

    Iraq yamtimua mwanadiplomasia wa Saudia

    Jun 07, 2018 03:26

    Serikali ya Iraq imemtimua mwanadiplomasia mmoja wa Saudia kwa tuhuma za kuingilia uchaguzi wa bunge uliopita nchini humo.

  • Kufichuliwa njama ya Marekani ya kuingiza tena magaidi nchini Iraq

    Kufichuliwa njama ya Marekani ya kuingiza tena magaidi nchini Iraq

    Jun 07, 2018 02:21

    Matukio ya mwaka mmoja uliopita nchini Iraq ambapo magaidi wakufurishaji wa ISIS au Daesh wamesambaratishwa na kutumiliwa kikamilifu kutoka maeneo yote waliyokuwa wameyateka kufuatia jitihada za jeshi na makundi ya kujitolea ya wananchi, yameiandaa Iraq kuingia duru mpya ya baada ya Daesh na kuandaa mazingira ya uchaguzi wa bunge uliofanyika mwezi uliopita.

  • Bunge la Iraq lataka zoezi la kuhesabu kura za uchaguzi lirudiwe tena

    Bunge la Iraq lataka zoezi la kuhesabu kura za uchaguzi lirudiwe tena

    Jun 06, 2018 22:47

    Bunge la Iraq limeamua katika kikao cha dharura kilichofanyika hapo jana kuwa kura zote zilizopigwa katika uchaguzi wa bunge uliofanyika hivi karibuni zihesabiwe tena kwa mkono.

  • Muungano wa kijeshi wa Marekani wakiri kuua raia 892 wa Syria na Iraq

    Muungano wa kijeshi wa Marekani wakiri kuua raia 892 wa Syria na Iraq

    Jun 01, 2018 03:13

    Muungano wa kimataifa unaoongozwa na Marekani wa eti kupambana na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) umekiri kupitia ripoti uliyotoa hapo jana kuwa tangu yalipoanza mashambulio ya anga ya muungano huo mwaka 2014 hadi sasa raia 892 wameuawa katika nchi za Syria na Iraq.

  • Seneta McCain akiri kuwa vita vya Iraq vilikuwa

    Seneta McCain akiri kuwa vita vya Iraq vilikuwa "kosa kubwa" ambalo lilifanywa na Marekani

    May 27, 2018 02:44

    John McCain, seneta mwenye misimamo mikali amekiri japo kwa kuchelewa kuwa Marekani ilifanya makosa kuanzisha vita vya kuivamia kijeshi Iraq mwaka 2003.

  • Mazungumzo ya kuunda serikali mpya yanaendelea nchini Iraq

    Mazungumzo ya kuunda serikali mpya yanaendelea nchini Iraq

    May 23, 2018 10:01

    Rais Fuad Masum wa Iraq na ujumbe wa Umoja wa Kitaifa wa Kurdisan leo wameitisha kikao cha kujadili uchaguzi wa hivi karibuni wa nchi hiyo na njia za kushirikiana makundi ya Kikurdi na mirengo mingine bungeni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS