-
Waziri Mkuu wa Iraq ametaka kusimamishwa kura ya maoni kuhusu Kurdistan
Sep 18, 2017 22:08Haidar al Abadi Waziri Mkuu wa Iraq ametaka rasmi kusimamishwa kura ijayo ya maoni kuhusu kujitenga eneo la Kurdistan kufuatia serikali kuu kupinga vikali kura hiyo.
-
"Kura ya maoni ya kujitenga Kurdistan ni hatari kwa umoja wa Iraq"
Sep 15, 2017 09:42Sayyid Ammar Al-Hakim, kiongozi wa Muungano wa Kitaifa, ambao ni mrengo mkubwa zaidi wa kisiasa nchini Iraq ametahadharisha juu ya taathira hasi ya kufanyika kura ya maoni ya kujitenga eneo la Kurdistan, akisisitiza kuwa, kitendo hicho hakitakuwa na tija nyingine ghairi ya kuhatarisha usalama, amani na umoja wa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Makumi wakiwemo Wairani 3 wauawa katika miripuko pacha ya mabomu Iraq
Sep 14, 2017 10:11Kwa akali watu 50 wakiwemo raia watatu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameuawa katika mashambulizi pacha ya mabomu na ufyatuaji risasi huko kusini mwa Iraq.
-
Bunge la Iraq lapiga kura ya kupinga kura ya maoni ya kujitenga Kurdistan
Sep 12, 2017 10:24Bunge la Iraq limepiga kura kwa kishindo kupinga kufanyika kura ya maoni ya kutaka kujitenga eneo lenye mamlaka ya ndani la Kurdistan.
-
Viongozi wa Daesh waendelea kujisalimisha kwa askari wa Iraq, wengine wauawa
Sep 05, 2017 23:24Kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh limemuua mmoja wa makamanda wake wa ngazi ya juu baada ya kutaka kujisalimisha kwa askari wa Kikurdi wa Peshmerga.
-
Sisitizo la kulindwa umoja wa kitaifa nchini Iraq
Sep 03, 2017 23:49Msimamo wa eneo la Kurdistan wa kutaka kuitisha kura ya maoni ya tarehe 25 mwezi huu kwa ajili ya kujitenga eneo hilo, umeendelea kukabiliwa na radiamali kali ya serikali ya Iraq, makundi tofauti ya nchi hiyo, nchi za eneo na ulimwengu mzima kwa ujumla.
-
Familia za Daesh zakimbia kaskazini mwa mkoa wa Salahuddin Iraq
Sep 03, 2017 23:13Sambamba na kukaribia wakati wa kutekelezwa oparesheni ya kuukomboa mji wa Shirqat katika mkoa wa Salahhudin huko kaskazini mwa Iraq, familia za magaidi wa kundi la Daesh zimeripotiwa kulikimbia eneo hilo usiku kucha.
-
Magaidi wa Daesh kusafishwa kikamilifu Iraq, karibuni hivi
Sep 02, 2017 21:59Mbunge mmoja wa Iraq ambaye pia anashughulikia masuala ya usalama nchini humo amesema kuwa, karibuni hivi itaanza operesheni ya kuwafurusha magaidi wa Daesh katika ngome yao iliyobakia ya al Hawija na hivyo kuwasafisha kabisa magaidi hao nchini Iraq.
-
US: Ni kweli tumeua raia 61 katika hujuma zetu za anga Syria na Iraq
Sep 02, 2017 03:23Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani umekiri kuua makumi ya raia katika wimbi jipya la mashambulizi yake ya anga katika nchi za Iraq na Syria.
-
Iraq yaishukuru Iran kwa misaada yake muhimu kwa serikali ya Baghdad
Aug 28, 2017 10:19Balozi wa Iraq nchini Algeria ameishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuwa nchi ya kwanza kuwasaidia wananchi wa Iraq katika wakati mgumu hasa wakati wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh walipokaribia kuutwaa mji mkuu wa nchi hiyo, Baghdad.