Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Magaidi zaidi ya 140 wa Daesh waangamizwa Mosul, Iraq

    Magaidi zaidi ya 140 wa Daesh waangamizwa Mosul, Iraq

    May 15, 2017 01:10

    Kamanda wa Polisi Kuu ya Iraq ametangaza kuwa zaidi ya magaid 140 wa kundi la ukufurishaji la Daesh (ISIS) wameangamizwa katika eneo la Al-Haramat magharibi mwa mji wa Mosul.

  • Independent : Daesh (ISIS) linawatesa kwa njaa watoto wa Kiiraqi ili kuwashajiisha wajiripue

    Independent : Daesh (ISIS) linawatesa kwa njaa watoto wa Kiiraqi ili kuwashajiisha wajiripue

    May 12, 2017 11:44

    Kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) linawatesa kwa njaa watoto wadogo wa Iraq kwa ajili ya kuwalazimisha watekeleze vitendo vya kigaidi vya kujiripua katika maeneo ya raia wa kawaida.

  • Human Rights Watch: Marekani ni mshirika wa jinai za Saudi Arabia nchini Yemen

    Human Rights Watch: Marekani ni mshirika wa jinai za Saudi Arabia nchini Yemen

    May 06, 2017 08:52

    Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limetangaza kuwa, Marekani ni mshirika wa jinai za Saudi Arabia dhidi ya raia wa Yemen.

  • Gange la Daesh laua raia 10 nchini Iraq kwa kosa la kukataa kushirikiana nalo

    Gange la Daesh laua raia 10 nchini Iraq kwa kosa la kukataa kushirikiana nalo

    May 02, 2017 03:19

    Wanachama wa genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh, wamewaua raia 10 katika mkoa wa Nainawa (Nineveh) nchini Iraq.

  • Marekani: Mashambulizi yetu yameua mamia ya raia Iraq na Syria

    Marekani: Mashambulizi yetu yameua mamia ya raia Iraq na Syria

    May 01, 2017 03:02

    Wizara ya Ulinzi ya Marekani, Pentagon, imetoa taarifa na kukiri kwamba mashambulizi ya muungano unaodaiwa kupambana na magaidi wa Daesh hadi sasa yameshaua raia 352 katika nchi za Iraq na Syria tangu mwaka 2014.

  • Matukio ya hivi karibuni Mosul na udharura wa kuwa macho Wairaki

    Matukio ya hivi karibuni Mosul na udharura wa kuwa macho Wairaki

    Apr 30, 2017 07:32

    Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa, siku ya kukombolewa kikamilifu mji wa Mosul kutoka mikononi mwa magaidi wa Daesh (ISIS) imekaribia na wakati huo huo kutahadharisha juu ya changamoto za baada ya kukombolewa mji huo.

  • Iran yalaani mashambulizi ya anga ya Uturuki katika ardhi ya Iraq

    Iran yalaani mashambulizi ya anga ya Uturuki katika ardhi ya Iraq

    Apr 26, 2017 23:20

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani mashambulizi ya anga ya Uturuki huko Iraq na kuyataja kuwa ni ukiukaji wa mamlaka ya kitaifa na umoja wa ardhi ya Iraq.

  • Nguruwe mwitu wenye hasira waua magaidi wa ISIS nchini Iraq

    Nguruwe mwitu wenye hasira waua magaidi wa ISIS nchini Iraq

    Apr 26, 2017 08:41

    Magaidi watatu wa kundi la kitakifiri la ISIS au Daesh wameuawa na nguruwe mwitu waliokuwa na hasira katika eneo la kaskazini mwa Iraq.

  • Asilimia 70 ya maeneo ya magharibi mwa Mosul yamekombolewa kutoka kwa magaidi

    Asilimia 70 ya maeneo ya magharibi mwa Mosul yamekombolewa kutoka kwa magaidi

    Apr 25, 2017 03:40

    Kamanda wa oparesheni ya jeshi la Iraq ametangaza habari ya kukombolewa asilimia 70 maeneo ya magharibi mwa mji wa Mosul yaliyokuwa yakishikiliwa na kundi la kigaidi la Daesh.

  • Mamilioni waadhimisha kumbukumbu ya kufa shahidi Imam Kadhim AS, Baghdad

    Mamilioni waadhimisha kumbukumbu ya kufa shahidi Imam Kadhim AS, Baghdad

    Apr 24, 2017 03:46

    Mamilioni ya Waislamu wa madhehebu ya Shia wamekusanyika katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad, katika maadhimisho ya kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Musa Kadhim AS, mmoja wa watu wa nyumba toharifu ya Bwana Mtume Muhammad SAW.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS