-
Kiongozi wa Mapinduzi: Wanaohuisha jina na kumbukumbu ya Mashahidi, wao pia ni Mujahidina katika njia ya Mwenyezi Mungu
Nov 29, 2024 07:48Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kwa kusema: "mimi ninawaona wale wote wanaofanya kazi ya kuhuisha kumbukumbu za Mujahidina na Mashahidi kuwa ni Mujahidina katika njia ya Mwenyezi Mungu; yaani hii yenyewe ni Jihadi katika njia ya Mwenyezi Mungu".
-
Iran yashinda viti 2 vya kimataifa katika Shirika la Hali ya Hewa Duniani
Jul 07, 2024 04:40Bahareh Arabi, Mkuu wa Idara ya Kimataifa ya Shirika la Hali ya Hewa la Iran amesema wataalamu 2 wa Shirika la Hali ya Hewa la Iran wamechaguliwa kuwa wajumbe wa Tume ya Huduma ya Shirika la Hali ya Hewa Duniani.
-
Iran yamnyonga gaidi aliyekuwa akihudumia shirika la kijasusi la Israel, Mossad
Mar 04, 2024 13:14Iran imemnyonga gaidi wa aliyekuwa akitumikia shirika la kijasusi la utawala haramu wa Israel, Mossad ambaye alipanga kutega bomu katika karakana ya Wizara ya Ulinzi huko Isfahan, katikati mwa Iran.
-
Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu (83)
Oct 20, 2023 12:50Assalaam alaykum wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu, ili kwa pamoja tufungue ukurasa mwingine katika maisha Maulamaa wa Kishia pamoja na mchango wao katika Uislamu, bila kusahau athari na vitabu vyao.
-
Radiamali ya Iran kwa vitendo vya uhasama vya utawala wa Kizayuni na msimamo wa kichochezi wa Ukraine
Feb 03, 2023 08:17Amir Saeed Irwani, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa, siku ya Jumatano, akizungumzia shambulio la kigaidi kwenye kiwanda cha Wizara ya Ulinzi huko Isfahan, amesema katika barua kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na pia kwa mwenyekiti wa kiduru wa Baraza la Usalama kwamba uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa utawala wa Kizayuni umehusika na tukio hilo la kigaidi.
-
Russia yalaani shambulio lililofeli la droni dhidi ya kituo cha kijeshi cha Iran
Jan 31, 2023 07:48Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amelaani shambulio la ndege zisizo na rubani (droni) dhidi ya kituo cha kijeshi cha Iran katika mji wa Isfahan, katikati ya Iran.
-
Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu (52)
Oct 04, 2022 16:40Assalaam alaykum wapenzi wasikilizaji popote pale yanapokufikieni matangazo haya ya Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Alkhamisi tarehe 13 Juni mwaka 2019
Jun 13, 2019 02:20Leo ni Alkhamisi tarehe 9 Shawwal 1440 Hijria sawa na 13 Juni mwaka 2019.
-
Wizara ya Fedha ya Marekani imegeuka kuwa kitovu cha vita vya kiuchumi dhidi ya Iran
Jul 10, 2018 13:42Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Wizara ya Fedha ya Marekani imegeuka na kuwa kitovu cha vita vya kiuchumi dhidi ya Iran."
-
Watu wote 66 wafariki dunia katika ajali ya ndege katikati mwa Iran
Feb 18, 2018 08:03Watu 66 wamefariki dunia katikati mwa Iran baada ya ndege ya abiria kuanguka asubuhi ya leo.