-
Rasimu ya azimio la Umoja wa Mataifa yaitaka Israel kukomesha mara moja upanuzi wa vitongoji haramu
Feb 18, 2023 00:03Rasimu ya azimio jipya la Umoja wa Mataifa ambayo inasubiri kupigiwa kura inautaka utawala ghasibu wa Israel kukomesha haraka iwezekanavyo shughuli za upanuzi wa vitongoji vya walowezi katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu.
-
Wanachuo wa Sudan wapinga uhusiano wa kawaida na Israel
Feb 14, 2023 04:32Wanafunzi wa Vyuo Vikuu nchini Sudan wamefanya maandamano katika mji mkuu Khartoum kupinga hatua ya utawala wa kijeshi wa nchi hiyo ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Meya wa Barcelona avunja uhusiano na Israel, aitetea Palestina
Feb 09, 2023 22:55Jiji la Barcelona la kaskazini mashariki mwa Uhispania limetangaza kusimamisha uhusiano wake na utawala haramu wa Israel.
-
UN: Israel imeua makumi ya Wapalestina ndani ya wiki tatu
Feb 05, 2023 07:13Vikosi vya utawala haramu wa Israel vimewaua shahidi makumi ya Wapalestina katika kipindi cha wiki tatu, katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu, hayo yamesemwa na Umoja wa Mataifa.
-
Onyo la Russia kwa Netanyahu kuhusu msaada wa silaha kwa Ukraine
Feb 03, 2023 22:44Russia imeuonya vikali utawala haramu wa Israel baada ya Waziri Mkuu wa utawala huo Benjamin Netanyahu kutangaza Jumatano usiku kwamba anachunguza suala la kutuma msaada wa kijeshi wa utawala huo nchini Ukraine.
-
Warepublican waanza mchakato wa kumuondoa Ilhan Omar katika Kamati ya Mambo ya Nje ya Congresi kwa kuikosoa Israel
Feb 02, 2023 08:41Wanachama wa Republican katika Baraza la Wawakilishi la Marekani wanajiandaa kupigia kura muswada wa kumuondoa mwakilishi wa Kidemokrati, Ilhan Omar kwenye Kamati ya Masuala ya Kigeni, siku chache baada ya kuondolewa katika Kamati ya Masuala ya Afrika, kutokana na kukosoa ukatili na mauaji yanayofanywa na Israel dhidi ya raia wa Palestina.
-
HAMAS yatwaa droni ya kijasusi ya utawala haramu wa Israel
Jan 31, 2023 03:30Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imefanikiwa kutwaa ndege isiyo na rubani ya kijasusi ya utawala haramu wa Israel iliyokuwa ikiruka katika anga ya Ukanda wa Gaza.
-
Wapalestina wapongeza operesheni ya al-Quds, wasema ni kulipiza kisasi kwa mauaji ya Jenin
Jan 28, 2023 08:20Makundi ya muqawama na mapambano ya ukombozi wa Palestina yamepongeza operesheni ya kulipiza kisasi karibu na sinagogi katika makazi haramu ya walowezi wa Kizayuni kwenye eneo la al- Quds (Jerusalem) Mashariki linalokaliwa kwa mabavu na Israel, na kueleza kuwa oparesheni hiyo ni 'jibu la moja kwa moja' kwa uvamizi mbaya zaidi wa kijeshi wa Israel katika Ukingo wa Magharibi
-
Israel yaufyata baada ya onyo la Russia, yakataa ombi la US la kuipa Ukraine makombora
Jan 26, 2023 23:18Utawala haramu wa Israel umepinga ombi la Marekani la kuutaka uipe Ukraine makombora na silaha nyinginezo, baada ya Russia kuonya vikali dhidi ya kupewa Kiev misaada ya kijeshi na zana za vita.
-
Maelfu waandamana tena dhidi ya serikali yenye misimamo mikali ya Netanyahu
Jan 22, 2023 04:12Kwa mara nyingine, makumi ya maelfu ya wakazi wa ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina na kupachikwa jina la Israel wameandamana dhidi ya serikali yenye misimamo ya kuchupa mipaka ya Benjamin Netanyahu.