Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Mvutano mpya katika uhusiano wa Russia na Israel baada ya shambulizi dhidi ya uwanja wa ndege wa Damascus

    Mvutano mpya katika uhusiano wa Russia na Israel baada ya shambulizi dhidi ya uwanja wa ndege wa Damascus

    Jun 17, 2022 05:29

    Uhusiano kati ya Russia na utawala wa Kizayuni wa Israel umeingia katika awamu mpya yenye mivutano baada ya mashambuizi ya Russia dhidi ya Ukraine kutokana na misimamo ya Tel Aviv ya kujiunga na nchi za Magharibi na kuchukua misimamo dhidi ya Russia.

  • Russia: Israel iache mashambulizi dhidi ya Syria au isubiri matokeo mabaya

    Russia: Israel iache mashambulizi dhidi ya Syria au isubiri matokeo mabaya

    Jun 13, 2022 05:44

    Balozi wa Russia nchini Syria amelaani vikali jinai ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kufanya shambulio katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Damascus, mji mkuu wa Syria.

  • Israel yamshinikiza Biden aondea Pegasus kwenye orodha nyeusi ya US

    Israel yamshinikiza Biden aondea Pegasus kwenye orodha nyeusi ya US

    Jun 10, 2022 22:05

    Maafisa wa utawala wa Kizayuni wa Israel wanamshinikiza Rais Joe Biden wa Marekani afute jina la kampuni ya Israel ya NSO ambayo imekuwa ikiuza programu ya kijasusi ya Pegasus kwenye orodha nyeusi ya Washington.

  • Waziri Mkuu wa Israel afanya safari ya kushtukiza Imarati

    Waziri Mkuu wa Israel afanya safari ya kushtukiza Imarati

    Jun 09, 2022 18:51

    Naftali Bennett, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel yupo Abu Dhabi katika ziara rasmi ya kuutembelea Muungano wa Falme za Kiarabu.

  • Tunisia: Hatufanyi mazungumzo ya kidiplomasia na Israel

    Tunisia: Hatufanyi mazungumzo ya kidiplomasia na Israel

    Jun 09, 2022 18:50

    Tunisia imekadhibisha ripoti ya baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuwa imeanzisha mazungumzo ya kidiplomasia na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Kiongozi Muadhamu: Kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel kutapelekea kudhalilika madola ya Kiarabu

    Kiongozi Muadhamu: Kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel kutapelekea kudhalilika madola ya Kiarabu

    Jun 08, 2022 07:22

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema tawala za Kiarabu zilizokhitari kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel bila ridhaa ya wananchi wao hazitakumbwa na hatima nyingine ghairi ya kuishia kudhalilishwa na kutumiwa vibaya na utawala huo haramu.

  • UN: Israel kupora ardhi na kuwabagua Wapalestina, chachu ya ghasia na migogoro

    UN: Israel kupora ardhi na kuwabagua Wapalestina, chachu ya ghasia na migogoro

    Jun 08, 2022 06:23

    Timu ya ngazi ya juu ya uchunguzi ya Umoja wa Mataifa imesema hatua ya utawala haramu wa Israel ya kukalia kwa mabavu ardhi za Wapalestina na kuwafanyia Wapalestina vitendo vya kibaguzi ndio sababu kuu ya kushuhudiwa mawimbi ya ghasia zisizokwisha katika ardhi hizo zilizoghusubiwa.

  • Jenerali: Tutateketeza Tel Aviv, Haifa iwapo Israel itafanya kosa dhidi ya Iran

    Jenerali: Tutateketeza Tel Aviv, Haifa iwapo Israel itafanya kosa dhidi ya Iran

    Jun 08, 2022 06:19

    Kamanda wa vikosi vya nchi kavu vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameonya kuwa, Tehran itaiteketeza miji ya Tel Aviv na Haifa iwapo utawala wa Kizayuni wa Israel utajaribu kufanya kosa lolote dhidi ya taifa hili.

  • Amnesty International: Israel ikubali kubeba dhima ya jinai zake dhidi ya Wapalestina

    Amnesty International: Israel ikubali kubeba dhima ya jinai zake dhidi ya Wapalestina

    May 19, 2022 08:05

    Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesisitiza kuwa, haipasi tusahau kuuawa kwa Shireen Abu Akleh, mwandishi wa habari wa televisheni ya Aljazeera.

  • Mrengo wa Sadr waandaa muswada wa kupiga marufuku uhusiano na Israel

    Mrengo wa Sadr waandaa muswada wa kupiga marufuku uhusiano na Israel

    Apr 25, 2022 06:12

    Mrengo wa Sadr unaoongozwa na mwanachuoni mashuhuri wa Kishia nchini Iraq, Muqtada al-Sadr umeandaa muswada wa sheria inayoharamisha kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS