-
Kutoka malalamiko hadi mpasuko ndani ya chama; Netanyahu katika mashinikizo makubwa
Dec 15, 2020 23:26Maandamano ya wiki ya 25 mtawalia dhidi ya Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa Utawala haramu wa Israel yamefanyika juma hili katika hali ambayo, chama cha Likud kinachoongozwa na mwanasiasa huyo kimekumbwa na mgawanyiko mkubwa.
-
Uturuki yamteua balozi mpya wa Israel baada ya miaka 2
Dec 14, 2020 08:48Uturuki imemteua balozi wake mpya wa Tel Aviv, zaidi ya miaka miwili baada ya Ankara kumuita nyumbani balozi wake aliyekuweko katika utawala haramu wa Israel.
-
Vyama vya Kiislamu Morocco vyapinga uhusiano wa nchi hiyo na Israel
Dec 13, 2020 07:22Vyama vya Kiislamu nchini Morocco vimepinga vikali uamuzi wa ufalme wa nchi hiyo wa kuafikia kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel kufuatia mapatano yaliyosimamiwa na Marekani.
-
UN yailaumu Marekani kwa msimamo wake kuhusu Sahara Magharibi
Dec 13, 2020 04:06Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameilaumu Marekani kwa kutangaza kulitambua rasmi eneo la Sahara Magharibi kuwa ni milki ya Morocco.
-
Muamala wa Trump kwa ajili ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida kati ya Morocco na utawala wa Kizayuni
Dec 12, 2020 08:06Rais Donald Trump wa Marekani juzi Alhamisi alituma ujumbe katika ukurasa wake wa twitter na kueleza kuwa Morocco na utawala wa Kizayuni wa Israel zimefikia mapatano ya kuanzisha uhusiano kamili wa kidiplomasia.
-
Iran: Marekani inawashawishi wengine watoe muhanga kadhia ya Palestina
Dec 12, 2020 03:51Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema Marekani inazishawishi nchi zingine kutoa muhanga kadhia ya Palestina na kuwapa mkono wezi kwa njia mbali mbali.
-
Kuzingirwa Gaza na taathira zake katika kuenea corona
Dec 08, 2020 07:26Wizara ya Afya ya Ukanda wa Gaza ambao unaendelea kuzingirwa pande zote na utawala ghasibu wa Israel, imetangaza kwamba maabara makuu ya ukanda huo yamefungwa kutokana na kutokuwa na suhula na vifaa vya kufanyia vipimo vya corona.
-
Waziri: Jeshi la Sudan linafanya juhudi za kupanua uhusiano na Israel bila kuifahamisha serikali
Dec 07, 2020 08:56Waziri wa Habari wa Sudan ametangaza kuwa, jeshi la nchi hiyo linafanya juhudi za kupanua uhusiano na utawala haramu wa Israel bila kuifahamisha serikali.
-
Alkhamisi, 3 Disemba, 2020
Dec 02, 2020 23:09Leo ni Alkhamisi tarehe 17 Mfunguo Saba Rabiu Thani 1442 Hijria mwafaka na tarehe 3 Disemba 2020 Miladia.
-
UN yailaani Israel kwa kuendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni
Dec 02, 2020 03:33Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonya kwamba, ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni unaoendelea kufanywa na Israel katika ardhi za Wapalestina ni wa kiwango cha juu sana sasa hivi kuliko miaka minne iliyopita.