Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Afisa wa UAE akiri nchi hiyo imekuwa na uhusiano wa siri na Israel tangu miaka kadhaa nyuma

    Afisa wa UAE akiri nchi hiyo imekuwa na uhusiano wa siri na Israel tangu miaka kadhaa nyuma

    Nov 22, 2020 00:43

    Mkuu wa usalama wa mitandao wa serikali ya Imarati amekiri kuwa, kwa miaka kadhaa, nchi hiyo imekuwa na ushirikiano na mashirika ya usalama wa mitandao ya intaneti ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Jeshi la Israel limeua watoto 3,000 wa Palestina tokea Intifadha ya 2

    Jeshi la Israel limeua watoto 3,000 wa Palestina tokea Intifadha ya 2

    Nov 20, 2020 23:06

    Wizara ya Habari ya Palestina imeripoti kuwa, maelfu ya watoto wa Kipalestina wameuawa shahidi mikononi mwa askari katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel tangu ilipoanza Intifadha ya Pili ya Palestina hadi sasa.

  • Madai ya Pompeo dhidi ya harakati ya kuususia utawala wa Israel BDS, na radiamali yake

    Madai ya Pompeo dhidi ya harakati ya kuususia utawala wa Israel BDS, na radiamali yake

    Nov 20, 2020 05:36

    Marekani ambaye ni muungaji mkono mkubwa wa Utawala haramu wa Israel, si tu kwamba imeuhudumia pakubwa utawala huo katika kipindi cha utawala Rais Donald Trump, bali inaendelea kufanya juhudi za kudhoofisha na kuyawekea vikwazo na mashinikizo makundi na harakati ambazo zinaonekana kuwa dhidi ya siasa za ukandamizaji na jinai za utawala huo wa kibaguzi.

  • Sudan: Marekani ilitushinikiza tuanzishe uhusiano na Israel

    Sudan: Marekani ilitushinikiza tuanzishe uhusiano na Israel

    Nov 20, 2020 00:23

    Waziri wa Habari, Utamaduni na Utalii wa Sudan amefichua kuwa, Marekani iliiwekea nchi hiyo ya Kiafrika mashinikizo makubwa ya kuitaka ianzishe uhusiano na utawala haramu wa Israel.

  • Ijumaa tarehe 20 Novemba 2020

    Ijumaa tarehe 20 Novemba 2020

    Nov 19, 2020 23:02

    Leo ni Ijumaa tarehe 4 Mfungo Saba Rabiuthanil 1442 Hijria sawa na Novemba 20 mwaka 2020.

  • Sababu na shabaha za Saudia za kushirikiana na Wazayuni kuipiga vita Ikhwanul Muslimin

    Sababu na shabaha za Saudia za kushirikiana na Wazayuni kuipiga vita Ikhwanul Muslimin

    Nov 18, 2020 03:16

    Baraza la Maulamaa Wakuu wa Saudi Arabia limetoa taarifa likidai kuwa Ikhwanul Muslimin ni la kigaidi ambalo linapigania malengo ya kichama. Aidha baraza hilo limeituhumu Ikhwanul Muslimin kuwa inazusha mifarakano, inaeneza fitna na inaendesha machafuko na vitendo vya kigaidi.

  • Pakistan: Kamwe hatukubali kushinikizwa kuitambua rasmi Israel

    Pakistan: Kamwe hatukubali kushinikizwa kuitambua rasmi Israel

    Nov 17, 2020 22:53

    Kwa mara nyingine tena, Pakistan imesisitiza kuwa katu haitatumbukia katika mashinikizo ya kufuata mkumbo wa kuitambua rasmi Israel maadamu utawala huo haramu bado unazikalia kwa mabavu ardhi za Palestina.

  • Umoja wa Ulaya wapinga ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi huko Palestina

    Umoja wa Ulaya wapinga ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi huko Palestina

    Nov 16, 2020 07:35

    Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya ametoa taarifa akipinga vikali ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zilizobandikwa jina la Israel.

  • Ndege za kivita za Israel zashambulia kwa mabomu Ukanda wa Gaza

    Ndege za kivita za Israel zashambulia kwa mabomu Ukanda wa Gaza

    Nov 15, 2020 08:30

    Ndege za kivita za utawala haramu wa Israel zimeshambulia ngome za Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) katika Ukanda wa Gaza mapema leo Jumapili.

  • Iran yaishauri Saudia iache kujipendekeza kwa Israel

    Iran yaishauri Saudia iache kujipendekeza kwa Israel

    Nov 14, 2020 03:48

    Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa ameiasa Saudi Arabia ikomeshe mienendo yake ya kujipendekeza, kujidhalilisha na kujikomba kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS