Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Rouhani: Jamii ya kimataifa inapaswa kukomesha jinai za Israel dhidi ya Wapalestina

    Rouhani: Jamii ya kimataifa inapaswa kukomesha jinai za Israel dhidi ya Wapalestina

    May 14, 2020 19:59

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema jamii ya kimataifa ina wajibu wa kuchukua hatua za kivitendo za kukomesha jinai dhidi ya binadamu, ukandamizaji na dhulma wanazofanyiwa Wapalestina na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Amnesty yaikosoa Marekani kwa kuungo mkono uporaji wa ardhi za Wapalestina

    Amnesty yaikosoa Marekani kwa kuungo mkono uporaji wa ardhi za Wapalestina

    May 14, 2020 19:58

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limekosoa vikali hatua ya Marekani ya kuunga mkono uamuzi wa utawala wa Kizayuni wa kulinyakua eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuliunganisha na ardhi zingine unazozikalia kwa mabavu za Palestina (Israel).

  • Ziara ya Pompeo katika ardhi za Palestina na malengo yake kadhaa

    Ziara ya Pompeo katika ardhi za Palestina na malengo yake kadhaa

    May 13, 2020 23:20

    Uhusiano wa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel umepanuka sana kwa namna ambayo haijawahi kutokea katika wakati huu wa urais wa Donald Trump huko Marekani ambaye amechukua hatua nyingi za kutekeleza kivitendo matakwa haramu ya 'Israel.'

  • Bunge la Iran lapasisha muswada wa kukabili njama za Israel

    Bunge la Iran lapasisha muswada wa kukabili njama za Israel

    May 12, 2020 10:22

    Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imepasisha kwa kauli moja muswada wa dharura wa kukabili njama za utawala wa Kizayuni wa Israel, dhidi ya amani na usalama wa kieneo na kimataifa.

  • Vyama vya siasa na mashirika ya Norway yataka kuhitimishwa mzingiro wa Gaza

    Vyama vya siasa na mashirika ya Norway yataka kuhitimishwa mzingiro wa Gaza

    May 10, 2020 19:53

    Vyama vya kisiasa na mashirika 58 ya Norway yametoa mwito wa kufutwa haraka mzingiro wa Israel dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza, hususan katika kipindi hiki cha janga la corona.

  • Haniyah: Kuufanya wa kawaida uhusiano na Israel ni kosa lisilosameheka

    Haniyah: Kuufanya wa kawaida uhusiano na Israel ni kosa lisilosameheka

    May 09, 2020 08:03

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema njama zozote zinazolenga kuufanya wa kawaida uhusiano baina ya mataifa ya Kiarabu na utawala haramu wa Israel ni kosa ambalo halina msahama.

  • HAMAS na Jihadul Islami zapinga mpango wa kufanya mazungumzo na Israel

    HAMAS na Jihadul Islami zapinga mpango wa kufanya mazungumzo na Israel

    May 08, 2020 03:45

    Harakati za Muqawama wa Kiislamu za Palestina HAMAS na Jihadul-Islami zimekosoa vikali mpango wa baadhi ya nchi za Kiarabu wa kutaka kurejea kwenye meza ya mazungumzo na utawala haramu wa Israel.

  • HAMAS yatahadharisha kuhusu njama za kuiyahudisha Palestina

    HAMAS yatahadharisha kuhusu njama za kuiyahudisha Palestina

    May 07, 2020 03:23

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeutaja mpango wa kuunganisha Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) kama njama hatari zaidi ya kuziyahudisha ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.

  • Nasrullah: Tangazo la Ujerumani dhidi ya Hizbullah ni kwa maslahi ya Wazayuni

    Nasrullah: Tangazo la Ujerumani dhidi ya Hizbullah ni kwa maslahi ya Wazayuni

    May 04, 2020 22:18

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon sanjari na kulaani hatua ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ujerumani ya kuiita harakati hiyo ya muqawama kuwa ni kundi la kigaidi, amesisitiza kuwa serikali ya Berlin imeshindwa kuwasilisha ithibati yoyote ya kuyapa nguvu madai yake hayo.

  • Hamas yatungua 'drone' ya jeshi la Israel Ukanda wa Gaza

    Hamas yatungua 'drone' ya jeshi la Israel Ukanda wa Gaza

    Apr 28, 2020 02:44

    Harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) imefanikiwa kutungua ndege isiyo na rubani ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS