-
Waziri Mkuu wa Sudan aghadhabishwa na mkutano wa Burhan na Netanyahu
Feb 05, 2020 21:49Waziri Mkuu wa Sudan amekosoa vikali mkutano wa Mkuu wa Baraza la Utawala la Sudan, Luteni Jenerali Abdel Fattah al-Burhan na Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Baraza la Usalama lalaani Mpango wa Israel wa kuteka ardhi za Palestina
Feb 05, 2020 04:23Baraza la Usalama lalaani Mpango wa Israel wa kuteka ardhi za Palestina
-
Mkutano wa siri wa Marekani, UAE na Israel kujadili njama dhidi ya Iran
Feb 05, 2020 04:19Kumefanyika mkutano wa siri kati ya Marekani, utawala wa Kizayuni wa Israel na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa lengo la kujadili njama dhidi ya Iran.
-
Juhudi za utawala haramu wa Israel za kutafuta washirika barani Afrika
Feb 05, 2020 03:25Ikiwa ni katika kuendeleza juhudi zake za kuwa na ushawishi na kutafuta washirika kwa minajili ya kutekeleza siasa zake za kivamizi, Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala haramu amekutana na kufanya mazungumzo mjini Entebe Uganda na Luteni Jenerali Abdul-Fattah al-Burhan, Kiongozi wa Baraza la Utawala la Sudan.
-
EU yapinga njama za Trump dhidi ya Wapalestina
Feb 05, 2020 01:16Umoja wa Ulaya umepinga mpango uliopendekezwa na Rais Donald Trump wa Marekani ambao unakandamiza haki za taifa la Palestina uliopewa jina la "Muamala wa Karne" ukisisitiza kuwa, mpango huo unakanyaga sheria za kimataifa.
-
Arab League yapinga "Muamala wa Karne", yatoa onyo kali kwa Israel
Feb 02, 2020 07:28Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi wanachama katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) wamepinga mpango eti wa amani uliopendekelezwa na Marekani kwa ajili ya mgogoro wa Wapalestina na utawala wa kizayuni wa Israel maarufu kwa jina la "Muamala wa Karne".
-
Mamia waandamana Tel Aviv na London kupinga 'Muamala wa Karne'
Feb 02, 2020 03:51Mamia ya watu wamefanya maandamano katika barabara za mji mkuu wa utawala haramu wa Israel, Tel Aviv kulaani "Muamala wa Karne" uliozinduliwa hivi karibuni na Rais Donald Trump wa Marekani, anayedai kuwa mapendekezo yaliyomo kwenye mpango huo ghalati yataleta suluhu ya amani ya mgogoro baina ya Israel na Palestina.
-
Kiongozi Muadhamu: Muamala wa Karne kamwe hautazaa matunda
Jan 30, 2020 10:09Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema pendekezo la Marekani lililopewa jina la 'Muamala wa Karne' katu halitazaa matunda kwa Rehema za Mwenyezi Mungu.
-
Larijani: Lengo la 'Muamala wa Karne' ni kuwadhalilisha Waislamu
Jan 28, 2020 08:28Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema madhumuni ya njama za Marekani dhidi ya Wapalestina kwa jina la 'Muamala wa Karne' ni kuwadhalilisha na kuwatweza Waislamu.
-
Israel: Wazayuni kuanza kuitembelea Saudia kwa ziara za 'kidini' na kibiashara
Jan 26, 2020 09:37Wizara ya Mambo ya Ndani ya utawala haramu wa Israel imesema utawala huo pandikizi utaanza kuwaruhusu Wazayuni kuitembelea Saudi Arabia katika kile kinachotajwa kama safari za kidini na kibiashara.