-
Wapalestina 3 wauawa shahidi na jeshi la Israel Ukanda wa Gaza
Jan 22, 2020 08:28Wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewaua shahidi kwa kuwapiga risasi Wapalestina watatu katika uzio wa Ukanda wa Gaza.
-
Hamas yakosoa hatua ya Imarati kuialika Israel katika Maonyesho ya Dubai
Jan 21, 2020 03:57Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imesema hatua ya Umoja wa Falme za Kiarabu ya kuualika utawala haramu wa Israel kushiriki katika Maonyesho ya Dubai ya 2020 ni aina fulani ya kuufanya wa kawaida uhusiano wa taifa hilo la Kiarabu na Tel Aviv.
-
Wajordan waandamana kupinga makubaliano ya gesi na Israel
Jan 17, 2020 23:40Mamia ya wananchi wa Jordan wamefanya maandamano ya kupinga hatua ya serikali ya nchi hiyo kufikia mapatano ya mabilioni ya dola ya gesi asilia na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Ndege ya abiria ya Ukraine yawaka moto Tel Aviv, Israel
Jan 10, 2020 08:39Ndege ya abiria aina ya Boing 737-800 ya Shirika la Ndege la Ukraine, imewaka moto katika uwanja wa ndege wa Tel Aviv, Israel.
-
Alkhamisi , 9 Januari, 2020
Jan 08, 2020 21:45Leo ni tarehe 13 Jamadil Awwal 1441 Hijria sawa na Januari 09 mwaka 2020.
-
Ripoti: Israel iliwateka nyara Wapalestina 5,500 mwaka 2019
Jan 01, 2020 04:33Shirika moja la kutetea haki za wafungwa limefichua kuwa, kwa akali Wapalestina 5,500 walitekwa nyara au kutiwa mbaroni na askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel mwaka uliomalizika wa 2019.
-
Netanyahu: Israel kusaini 'makubaliano ya amani' na nchi za Kiarabu
Dec 30, 2019 04:01Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesema Tel Aviv karibuni hivi itasaini makubaliano ya amani na kuufanya wa kawaida uhusiano wake na nchi kadhaa za Kiarabu.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel: Tutaendeleza mauaji ya kigaidi huko Gaza
Dec 26, 2019 22:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Utawala wa Kizayuni wa Israel amesema kuwa, utawala huo utaanza tena kutekeleza mauaji ya kigaidi dhidi ya wanamapambano wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Iran yaonya; Israel itajuta kuanzisha mashambulizi dhidi ya Syria
Dec 24, 2019 08:25Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa ameutahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel, kwa kuanzisha mashambulizi ya anga dhidi ya Syria akisisitiza kuwa, hujuma hizo hazitapita hivi hivi bila kupata jibu kali.
-
Waziri wa Israel aitaka Tel Aviv kubomoa kijiji kimoja cha Wapelestina kila siku
Dec 22, 2019 23:13Waziri wa Usafirishaji wa Israel ametoa wito wa kuvunjwa kijiji kimoja cha Palestina kila siku na kuangamiza kabisa Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina ikiwa ni katika kulipiza kisasi dhidi ya uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) wa kuanza uchunguzi kuhusu jinai zilizofanywa na utawala wa Israel katika Ukingo wa Magharibi ikiwemo Quds na Ukanda wa Gaza.