-
Jamii ya kimataifa yakosolewa kwa kunyamazia kimya jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
Dec 02, 2019 08:56Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Palestina imekikosoa vikali kimya cha jamii ya kimataifa mbele ya jinai za utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Wapalestina na kueleza kuwa hilo ni doa baya katika paji la uso la walimwengu.
-
Wapalestina wapambana na askari wa Israel katika maandamano ya "Siku ya Ghadhabu"
Nov 26, 2019 22:13Wapalestina mapema leo wamepigana na askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika maandamano ya "Siku ya Ghadhabu" kupinga siasa za Marekani za kukingia kifua na kuhalalisha wizi wa ardhi za Palestina.
-
Mpalestina mwenye saratani afia jela Israel kwa kunyimwa matibabu
Nov 26, 2019 22:11Raia wa Palestina aliyekuwa anaugua ugonjwa wa saratani amepoteza maisha mikononi mwa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kunyimwa matibabu na dawa.
-
Kuongezeka upinzani kwa hatua ya Marekani kuunga mkono ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni
Nov 24, 2019 23:18Uungaji mkono wa kila upande wa White House kwa siasa za kupenda kujitanua za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel hususan katika kuutambua kuwa halali ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, si tu kwamba umeibua hasira za walimwengu, bali umewafanya wabunge wa chama cha Democrat katika bunge la wawakilishi nchini Marekani kukosoa ukiukaji huo wa Washington wa sheria za kimataifa.
-
Upinzani dhidi ya uungaji mkono wa Marekani kwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi huko Palestina, waongezeka
Nov 23, 2019 23:44Misaada na uungaji mkono wa pande zote wa maafisa wa White House kwa siasa za utawala haramu wa Israel hususan hatua ya serikali ya Washington ya kuhalalisha ujenzi wa vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina inaendelea kuamsha hasira za walimwengu.
-
Wanaharakati waandamana Chicago, Marekani kulaani hujuma za Israel, Gaza
Nov 22, 2019 23:08Makumi ya wanaharakati wamefanya maandamano katika mji wa Chicago jimboni Illinois nchini Marekani, kulaani mashambulizi ya anga yaliyofanywa hivi karibuni na ndege za jeshi katili la Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Wanachama wa Baraza la Usalama waikosoa vikali Marekani
Nov 22, 2019 23:08Rais Donald Trump wa Marekani amechukua msimamo wa kuunga mkono kwa hali na mali na bila ya masharti yoyote utawala haramu wa Israel na licha ya maazimio kadhaa ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa yanayopiga marufuku kuunganishwa ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo tokea mwaka 1967, ikiwemo miinuka ya Golan ya Syria, lakini bado serikali ya Washington inauchukulia ukaliaji mabavu huo wa utawala wa Kizayuni kuwa ni jambo halali na linaloruhusiwa.
-
Watoto wa Kipalestina, wahanga wa jinai za utawala haramu wa Israel
Nov 22, 2019 03:37Kituo cha kutetea haki za wafungwa wa Kipalestina cha "Palestinian Prisoners Club" kilitangaza katika maadhimisho ya Siku ya Watoto Duniani iliyoadhimishwa tarehe 20 Novemba katika maeneo mbalimbali duniani kwamba, watoto 745 wa Kipalestina wametiwa mbaroni tangu ulipoanza mwaka huu wa 2019 hadi kufikia mwezi uliopita wa Oktoba.
-
Tunisia yatahadharisha kuhusu taathira za ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni
Nov 20, 2019 21:35Wizara ya Mambo ya Nje ya Tunisia imetahadharisha kuhusu taathira hatari za ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Russia: Ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni unaofanywa na Israel ni haramu
Nov 20, 2019 08:40Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imeutaja ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu kuwa ni haramu.