-
Israel imewatia mbaroni mamia ya watoto wa Kipalestina
Nov 20, 2019 04:22Utawala wa Kizayuni wa Israel umewatia mbaroni watoto 745 wa Kipalestina wenye chini ya umri wa miaka 18, tangu mwazoni mwa huu hadi sasa.
-
Hatua mpya ya serikali ya Trump ya kuunga mkono hatua haramu za utawala wa Kizayuni
Nov 20, 2019 03:35Moja ya misingi ya wazi kabisa ya sera za kigeni za Marekani katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump ni kuuunga mkono bila masharti utawala haramu wa Israel na kutekeleza kivitendo hatua ambazo marais waliotangulia wa nchi hiyo walijizuia kuzitekeleza.
-
EU yatofautiana na US kuhusu uporaji wa ardhi za Wapalestina
Nov 19, 2019 04:36Umoja wa Ulaya umeshikilia msimamo wake kuwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu ni haramu na kinyume cha sheria za kimataifa.
-
Mashambulizi ya anga ya Israel yaua shahidi makumi ya Wapalestina Gaza
Nov 13, 2019 23:13Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel jana Jumanne na kwa siku ya pili mfufulizo zilitekeleza mashambulizi ya anga zaidi ya 50 katika Ukanda wa Gaza, na kuua shahidi makumi ya Wapalestina.
-
Wanamuqawama wa Palestina wajibu mapigo baada ya Israel kumuua shahidi kamanda wa Jihad Islami
Nov 12, 2019 04:37Wanamuqawama wa Palestina wametoa jibu kali baada ya jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel kumuua shahidi kamanda wa ngazi za juu wa Harakati ya Jihadul-Islam ya Palestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Marekani na Israel zachochea na kuunga mkono machafuko ya Iraq
Nov 06, 2019 04:35Rais wa Marekani na Waziri wa Mambo ya Nje wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameeleza kufurahishwa na machafuko ya Iraq na kusema wanaunga mkono hali hiyo.
-
Uturuki: Ufaransa na Israel zilitaka kuunda 'dola la kigaidi' Syria
Nov 02, 2019 09:07Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amesema Ufaransa na utawala wa Kizayuni wa Israel zilikuwa na hamu kubwa ya kuunda dola la kigaidi ndani ya ardhi ya Syria.
-
Democrats wataka Marekani iikatie Israel misaada ya kijeshi
Nov 02, 2019 09:01Wagombea wa urais kwa tiketi ya chama cha Democrat nchini Marekani wamesema serikali ya Washington inapaswa kusitisha misaada ya kijeshi kwa utawala wa Kizayuni wa Israel, iwapo utaendelea kupora na kujenga vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Shambulizi la anga la Israel laua na kujeruhi Wapalestina Gaza
Nov 02, 2019 08:55Mashambulizi ya anga ya ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel yamepelekea kuuawa shahidi raia mmoja wa Palestina na kujeruhiwa wengine wawili.
-
Netanyahu asalimu amri, akiri kushindwa kuunda serikali
Oct 22, 2019 04:32Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu amekiri kuwa ameshindwa kuunda serikali ya muungano, baada ya mazungumzo ya kisiasa kati yake na mshindani wake mkuu katika uchaguzi uliopita wa bunge, Benny Gantz kugonga mwamba.