Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Kujitoa Trump katika JCPOA; ni katika kuiunga mkono Israel

    Kujitoa Trump katika JCPOA; ni katika kuiunga mkono Israel

    Oct 13, 2019 08:40

    Rais wa Marekani amekiri kuwa alijitoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kwa sababu ya kuiunga mkono Israel.

  • Jeshi la Israel: Ndege zisizo na rubani za muqawama wa Palestina ni hatari kubwa kwetu

    Jeshi la Israel: Ndege zisizo na rubani za muqawama wa Palestina ni hatari kubwa kwetu

    Oct 09, 2019 04:01

    Kamanda mmoja wa jeshi la utawala haramu wa Israel amesema kuwa, ndege zisizo na rubani za muqawama wa Palestina ni tishio kubwa na hatari kwa utawala huo.

  • Hamas: Njama ya kuuawa Jenerali Soleimani wa Iran ni kwa maslahi ya Israel

    Hamas: Njama ya kuuawa Jenerali Soleimani wa Iran ni kwa maslahi ya Israel

    Oct 05, 2019 08:26

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani vikali njama iliyotibuka ya nchi za Kiarabu na utawala wa Kizayuni wa Israel ya kutaka kumuua Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH), Meja Jenerali Qassem Soleimani.

  • Ripoti: Muungano wa Marekani-Saudia-Israel dhidi ya Iran unadorora katika mgogoro

    Ripoti: Muungano wa Marekani-Saudia-Israel dhidi ya Iran unadorora katika mgogoro

    Oct 05, 2019 03:15

    Muungano dhidi ya Iran ambao umeundwa na watawala wa Marekani, Israel na Saudi Arabia unadorora huku kila mmoja wa watawala wa nchi hizo akikumbwa na matatizo makubwa.

  • IRGC yatibua njama ya Waarabu na Wazayuni ya kumuua Jenerali Soleimani

    IRGC yatibua njama ya Waarabu na Wazayuni ya kumuua Jenerali Soleimani

    Oct 03, 2019 10:22

    Kitengo cha Intelijensia cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) nchini Iran kimetibua njama za nchi za Kiarabu na utawala wa Kizayuni wa Israel za kumuua Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la SEPAH, Meja Jenerali Qassem Soleimani.

  • Filamu ya matukio: Bin Salman yuko tayari kuitambua rasmi Israel ikiwa Marekani itamsaidia kuishinda Iran

    Filamu ya matukio: Bin Salman yuko tayari kuitambua rasmi Israel ikiwa Marekani itamsaidia kuishinda Iran

    Oct 02, 2019 00:44

    Filamu mpya ya matukio ya kweli imefichua kuwa, mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia Mohammed Bin Salman, maarufu kama MbS alimuahidi Rais Donald Trump wa Marekani kuwa nchi yake itautambua rasmi utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, ikiwa Marekani itausaidia utawala wa Aal Saud "kuishinda Iran na kuidhibiti Mashariki ya Kati."

  • Jumatano tarehe Pili Oktoba 2019

    Jumatano tarehe Pili Oktoba 2019

    Oct 02, 2019 00:42

    Leo ni Jumatano tarehe 3 Safar 1441 Hijria sawa na tarehe Pili Oktoba mwaka 2019.

  • Waziri Mkuu wa Iraq: Israel ndiyo inayoishambulia Hashdu Shaabi

    Waziri Mkuu wa Iraq: Israel ndiyo inayoishambulia Hashdu Shaabi

    Oct 01, 2019 04:26

    Waziri Mkuu wa Iraq ameubebesha dhima utawala wa Kizayuni wa Israel ya kutekeleza wimbi la mashambulizi dhidi ya harakati ya wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu ya Hashdu Shaabi.

  • Brigedia Jenerali Nilforooshan: Israel imezungukwa na Iran kila upande

    Brigedia Jenerali Nilforooshan: Israel imezungukwa na Iran kila upande

    Sep 28, 2019 08:53

    Kamanda wa ngazi za juu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema utawala wa Kizayuni wa Israel umezingirwa kila upande na Iran na kuuonya utawala huo haramu dhidi ya kuchukua hatua yoyote ya kichokozi dhidi ya taifa hili.

  • Polisi ya Israel yamtia mbaroni Waziri wa Masuala ya Quds wa Palestina

    Polisi ya Israel yamtia mbaroni Waziri wa Masuala ya Quds wa Palestina

    Sep 26, 2019 00:44

    Askari polisi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamemtia mbaroni Waziri wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS