Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • UAE ilitumia spyware ya Israel kuwafanyia ujasusi viongozi wa eneo

    UAE ilitumia spyware ya Israel kuwafanyia ujasusi viongozi wa eneo

    Sep 01, 2018 09:33

    Utawala wa Umoja wa Falme za Kiarabu ulitumia programu ya kijasusi ya kudukua kompyuta au simu za mkononi (spyware) kuwafanyia ujasusi viongozi kadhaa wa nchi za Kiarabu akiwemo Amir wa Qatar, Waziri Mkuu wa Lebanon na mwanamfalme mmoja wa Saudia.

  • Zarif atoa jibu makini kwa vitisho vya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran

    Zarif atoa jibu makini kwa vitisho vya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran

    Aug 30, 2018 03:04

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, vitisho vya waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kitendo kilichovuka mpaka wa utovu wa haya katika ulimwengu wa ufidhuli.

  • Taarifa ya HAMAS kwa mnasaba wa mwaka wa 49 tokea kuchomwa moto Msikiti wa al-Aqswa

    Taarifa ya HAMAS kwa mnasaba wa mwaka wa 49 tokea kuchomwa moto Msikiti wa al-Aqswa

    Aug 21, 2018 21:47

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa, Wapalestina wataendeleza mapambano yao dhidi ya utawala ghasibu wa Israel yenye lengo la kukombolewa msikiti mtakatifu wa al-Aqswa.

  • UN yatoa mapendekezo ya kuboresha hali ya Wapalestina

    UN yatoa mapendekezo ya kuboresha hali ya Wapalestina

    Aug 18, 2018 10:00

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa mapendekezo kadhaa ya kuwasaidia watu wa Palestina katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na Israel.

  • Onyo la maafisa wa zamani wa kijasusi wa Marekani kuhusu nyaraka bandia za Netanyahu dhidi ya Iran

    Onyo la maafisa wa zamani wa kijasusi wa Marekani kuhusu nyaraka bandia za Netanyahu dhidi ya Iran

    Aug 07, 2018 01:45

    Israel ambayo inahesabiwa kuwa mmoja wa maadui wakubwa wa Iran katika eneo la Mashariki ya Kati daima inafanya njama na kueneza madai ya uongo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu hususan katika mradi wake wa amani wa nyuklia lengo lake kuu likiwa ni kutaka kupoteza imani ya jamii ya kimataifa na kuifanya ichukue hatua dhidi ya Iran.

  • Israel yaizuia boti ya pili ya shehena ya misaada iliyokuwa ikielekea Gaza

    Israel yaizuia boti ya pili ya shehena ya misaada iliyokuwa ikielekea Gaza

    Aug 04, 2018 10:46

    Askari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wameizuia boti ya pili iliyokuwa imebeba shehena ya misaada ya kibinadamu kwa ajili ya Wapalestina wa eneo la Ukanda wa Gaza lililozingirwa na utawala huo.

  • Vita vya fueli vya Israel dhidi ya Gaza katikati ya msimu wa joto kali

    Vita vya fueli vya Israel dhidi ya Gaza katikati ya msimu wa joto kali

    Aug 03, 2018 02:33

    Avigdor Lieberman, Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel ameliamuru jeshi la utawala huo lizuie kupelekwa fueli eneo la Ukanda wa Gaza.

  • Asilimia 92 ya Waarabu wanaiona Israel tishio kubwa zaidi kwa amani ya Mashariki ya Kati

    Asilimia 92 ya Waarabu wanaiona Israel tishio kubwa zaidi kwa amani ya Mashariki ya Kati

    Aug 01, 2018 21:59

    Uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni katika Ulimwengu wa Kiarabu unaonyesha kuwa, kutokana na mtazamo hasi ulioko dhidi ya hamu ya baadhi ya nchi ya kutaka kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel, akthari ya wananchi katika nchi za Kiarabu wanauona utawala huo wa Kizayuni tishio kubwa zaidi kwa amani na uthabiti wa Mashariki ya Kati.

  • Jibu la Wapalestina kwa uharamia wa Israel

    Jibu la Wapalestina kwa uharamia wa Israel

    Aug 01, 2018 01:41

    Mkuu wa Idara ya Siasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) Ismail Hania ametoa ujumbe akilaani shambulizi la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya meli iliyokuwa njiani ikielekea Ukanda wa Gaza kuvunja mzingiro wa Israel dhidi ya wakazi wa eneo hilo na vilevile uharamia wa askari wa Israel wa kuwashambulia wanaharakati wa kimataifa wanaolitetea taifa la Palestina.

  • Palestina yateuliwa kuongoza Kundi la 77 la UN

    Palestina yateuliwa kuongoza Kundi la 77 la UN

    Jul 27, 2018 03:36

    Palestina imeteuliwa kuwa mwenyekiti wa kiduru wa Kundi la 77 (G77) linalojihusisha na masuala ya uchumi wa nchi zinazostawi, ambazo zinaunda asilimia 80 ya idadi ya watu wote duniani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS