Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Palestina yateuliwa kuongoza Kundi la 77 la UN

    Palestina yateuliwa kuongoza Kundi la 77 la UN

    Jul 27, 2018 03:36

    Palestina imeteuliwa kuwa mwenyekiti wa kiduru wa Kundi la 77 (G77) linalojihusisha na masuala ya uchumi wa nchi zinazostawi, ambazo zinaunda asilimia 80 ya idadi ya watu wote duniani.

  • Fawzi Barhoum: Kunyamazia mashambulio ya Israel ni jambo lisilokubalika

    Fawzi Barhoum: Kunyamazia mashambulio ya Israel ni jambo lisilokubalika

    Jul 26, 2018 09:55

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, kunyamazia kimya hujuma na mashambulio ya utawala unaomwaga damu na unaotenda jinai wa Israel ni jambo lisilokubalika.

  • Jeshi la Israel lashambulia Gaza, Wapalestina 3 wauawa shahidi

    Jeshi la Israel lashambulia Gaza, Wapalestina 3 wauawa shahidi

    Jul 26, 2018 02:43

    Kwa akali Wapalestina watatu wameuawa shahidi katika wimbi jipya la mashambulizi ya angani na nchi kavu ya jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya makazi ya raia katika Ukanda wa Gaza.

  • Israel yabomoa kituo cha watoto wa Kipalestina mashariki wa mji wa Quds

    Israel yabomoa kituo cha watoto wa Kipalestina mashariki wa mji wa Quds

    Jul 25, 2018 22:36

    Duru za habari kutoka Palestina zimeripoti kwamba maboldoza ya utawala haramu wa Kizayuni, yamebomoa kituo cha kulelea watoto wadogo pamoja na kituo cha wanawake katika eneo la Jabal al Baba karibu na mji wa al-Eizariya, mashariki mwa mji wa Quds.

  • Erdogan: Israel ndio utawala wa kifashisti na kibaguzi zaidi duniani

    Erdogan: Israel ndio utawala wa kifashisti na kibaguzi zaidi duniani

    Jul 24, 2018 11:50

    Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki ameutaja utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ndio utawala wa kifashisti na wa kibaguzi zaidi duniani.

  • Indhari ya Umoja wa Mataifa kuhusiana na hali inayotia wasiwasi ya Ukanda wa Gaza

    Indhari ya Umoja wa Mataifa kuhusiana na hali inayotia wasiwasi ya Ukanda wa Gaza

    Jul 24, 2018 07:03

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, hali ya Ukanda wa Gaza ni ya "maafa" na ametahadharisha kwamba, hali hiyo itazidi kuwa mbaya.

  • Makamanda wa makundi ya kigaidi nchini Syria wakimbilia upande wa jeshi la Israel

    Makamanda wa makundi ya kigaidi nchini Syria wakimbilia upande wa jeshi la Israel

    Jul 23, 2018 22:53

    Sambamba na jeshi la Syria kuimarisha mzingiro dhidi ya makundi ya kigaidi kusini mwa nchi hiyo, makamanda wa makundi hayo na kupitia taa ya kijani ya utawala wa Kizayuni, wamekimbilia upande wa jeshi la Israel katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.

  • Shakhsia wa Kiafrika: Israel isiruhusiwe kujipenyeza Afrika

    Shakhsia wa Kiafrika: Israel isiruhusiwe kujipenyeza Afrika

    Jul 22, 2018 23:12

    Shakhsia mbalimbali walioshiriki Kongamano la Kuiunga Mkono Palestina katika mji mkuu wa Mauritania, Nouakchott wamesisizia udharura wa nchi za Afrika kutouruhusu utawala wa Kizayuni wa Israel kujipenyeza katika bara hilo; na badala yake ziliunge mkono taifa la Palestina.

  • UN yaitaka Israel isitishe uchokozi wake Ghaza

    UN yaitaka Israel isitishe uchokozi wake Ghaza

    Jul 22, 2018 03:10

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameutaka utawala haramu wa Israel usitishe uchokozi wake katika Ukanda wa Ghaza.

  • Mossad yakiri kushirikiana na kundi la kigaidi la MKO kula njama dhidi ya Iran

    Mossad yakiri kushirikiana na kundi la kigaidi la MKO kula njama dhidi ya Iran

    Jul 20, 2018 09:40

    Shirika la Ujasusi la Utawala wa Kizayuni wa Israel MOSSAD limejitokeza hadharani na kukiri kuhusu ushirikiano wake na kundi la kigaidi la MKO, kupanga njama dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS