Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Hatua za Israel za kuwapokonya Wapalestina Mamlaka ya Kimahakama katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan

    Hatua za Israel za kuwapokonya Wapalestina Mamlaka ya Kimahakama katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan

    Jul 20, 2018 03:50

    Hatua za satua na kupenda kujitanua utawala haramu wa Israel katika maeneo ya Wapalestina zimechukua mkondo mpana zaidi baada ya kuibuliwa mpango wa Marekani wa Muamala wa Karne".

  • Bunge la Israel lapasisha sheria ya ubaguzi, Wabunge Waarabu wahamaki

    Bunge la Israel lapasisha sheria ya ubaguzi, Wabunge Waarabu wahamaki

    Jul 19, 2018 11:12

    Bunge la utawala haramu wa Israel (Knesset) limeupasisha muswada wa sheria inayotaka kutambuliwa Israel kama 'dola la Mayahudi pekee' licha ya upinzani mkali na malalamiko kutoka kila pembe ya dunia.

  • Shehena ya mabomu ya Israel yapatikana katika maficho ya ISIS, Syria

    Shehena ya mabomu ya Israel yapatikana katika maficho ya ISIS, Syria

    Jul 18, 2018 03:09

    Jeshi la Syria limegundua shehena iliyojaa mabomu yaliyotengenezwa Israel katika mkoa wa Hama, magharibi mwa nchi; huku vikosi vya serikali vikizidi kupata mafanikio na kusonga mbele katika jitihada za kuyasafisha mabaki ya wanachama wa magenge ya kigaidi na ukufurishaji.

  • Uchunguzi: Israel ilimuua muuguzi wa Kipalestina Gaza kwa makusudi

    Uchunguzi: Israel ilimuua muuguzi wa Kipalestina Gaza kwa makusudi

    Jul 18, 2018 02:48

    Uchunguzi uliofanywa na shirika moja la kutetea haki za binadamu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu umesema jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel lilimuua kwa makusudi muuguzi wa Kipalestina katika Ukanda Ghaza.

  • Masisitizo ya kimataifa juu ya udharura wa kusitishwa mauaji ya Israel dhidi ya watoto

    Masisitizo ya kimataifa juu ya udharura wa kusitishwa mauaji ya Israel dhidi ya watoto

    Jul 17, 2018 21:59

    Masisitizo ya kimataifa juu ya udharura wa kusitishwa mauaji ya watoto yanayofanywa na utawala haramu wa Israel yameendelea kushuhudiwa.

  • Hamas yaionya vikali Israel juu ya mzingiro wa Gaza

    Hamas yaionya vikali Israel juu ya mzingiro wa Gaza

    Jul 17, 2018 02:47

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imeuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel, kutokana na hatua yake ya kuzidisha mzingiro katika Ukanda wa Gaza.

  • Maelfu waandamana Tel Aviv kupinga ubaguzi wa Israel

    Maelfu waandamana Tel Aviv kupinga ubaguzi wa Israel

    Jul 15, 2018 02:51

    Watu zaidi ya elfu saba wamefanya maandamano katika barabara za mji wa Tel Aviv kupinga muswada wa kibaguzi wa utawala haramu wa Israel.

  • Israel yawadondoshea mabomu Wapalestina wa Gaza

    Israel yawadondoshea mabomu Wapalestina wa Gaza

    Jul 14, 2018 03:24

    Kwa mara nyingine tena ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel zimewadondoshea mabomu Wapalestina kusini mwa Ukanda wa Gaza.

  • Utafiti: Marekani na Israel ndio tishio kuu kwa Waarabu

    Utafiti: Marekani na Israel ndio tishio kuu kwa Waarabu

    Jul 13, 2018 03:11

    Utafiti mpya wa maoni unaonesha kuwa, zaidi ya asilimia 75 ya Waarabu wanaitazama Marekani na utawala haramu wa Israel kama tishio kuu kwa usalama wa mataifa yao.

  • UN: Israel imebomoa nyumba 197 za Wapalestina Ukingo wa Magharibi

    UN: Israel imebomoa nyumba 197 za Wapalestina Ukingo wa Magharibi

    Jul 11, 2018 23:40

    Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imesema utawala wa Kizayuni wa Israel umebomoa nyumba 197 za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan katika miezi mitatu ya kwanza ya mwaka huu wa 2018.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS