Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Indonesia: Hakuna mazungumzo ya siri tuliyoyafanya na Israel

    Indonesia: Hakuna mazungumzo ya siri tuliyoyafanya na Israel

    Jun 29, 2018 23:46

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Indonesia imekadhibisha madai yaliyotolewa na utawala haramu wa Kizayuni kwamba serikali ya nchi hiyo imefanya mazungumzo ya siri na utawala huo kwa ajili ya kuondolewa marufuku inayowazuia Wazayuni kufanya safari nchini Indonesia.

  • Silaha za Israel zakutwa katika maeneo yaliyokombolewa huko Daraa, Syria

    Silaha za Israel zakutwa katika maeneo yaliyokombolewa huko Daraa, Syria

    Jun 29, 2018 10:43

    Jeshi la Syria limenasa maghala kadhaa ya silaha na zana za kivita ambazo baadhi yake zimeundwa na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Wakuu wa ujasusi wa nchi za Kiarabu na Israel wafanya mkutano wa siri

    Wakuu wa ujasusi wa nchi za Kiarabu na Israel wafanya mkutano wa siri

    Jun 29, 2018 02:59

    Tovuti ya habari ya Ufaransa imefichua kuhusu mkutano wa siri kati ya wakuu wa idara za kijasusi za nchi za Kiarabu na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Kushtadi ukandamizaji wa Israel dhidi ya Wapalestina kwa uungaji mkono wa Marekani

    Kushtadi ukandamizaji wa Israel dhidi ya Wapalestina kwa uungaji mkono wa Marekani

    Jun 23, 2018 08:33

    Wapalestina 206 wamejeruhiwa kwa kupigwa risasi na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ijumaa ya 13 ya maandamano ya Haki ya Kurejea chini ya anwani ya " Ijumaa ya Kuonyesha Mshikamano kwa Majeruhi".

  • Mke wa Netanyahu afunguliwa kesi ya ufisadi wa kifedha

    Mke wa Netanyahu afunguliwa kesi ya ufisadi wa kifedha

    Jun 21, 2018 09:24

    Mke wa Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amefunguliwa rasmi faili la kesi ya ufisadi wa kifedha.

  • Iraq yazionya Marekani na Israel juu ya madhara ya kukariri hujuma zao dhidi ya Hashdu sh-Sha'abi

    Iraq yazionya Marekani na Israel juu ya madhara ya kukariri hujuma zao dhidi ya Hashdu sh-Sha'abi

    Jun 21, 2018 09:19

    Makamu wa Rais wa Iraq, Nouri al-Maliki ameionya Marekani na utawala haramu wa Kizayuni kukariri mashambulizi yao ya anga dhidi ya Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi na kusisitiza kwamba kitendo hicho ni cha kijinga ambacho kitachochea migogoro katika eneo.

  • Dunia yaikosoa Marekani kwa kujiondoa kwenye Baraza la Haki za Binadamu la UN

    Dunia yaikosoa Marekani kwa kujiondoa kwenye Baraza la Haki za Binadamu la UN

    Jun 19, 2018 23:03

    Jamii ya kimataifa imeikosoa vikali Marekani kwa hatua yake ya kujiondoa kwenye Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa ikilituhumu baraza hilo kuwa ni la kinafiki na eti limekuwa likichukua maamuzi yaliyo dhidi ya Israel.

  • Indhari kuhusu uingiliaji wa utawala haramu wa Kizayuni eneo la Darfur, Sudan

    Indhari kuhusu uingiliaji wa utawala haramu wa Kizayuni eneo la Darfur, Sudan

    Jun 17, 2018 22:02

    Chama cha Kongresi ya Kitaifa nchini Sudan kimetahadharisha kuhusiana na uingiliaji wa utawala haramu wa Israel eneo la Darfur huko Sudan kwa lengo la kuibua machafuko nchini humo.

  • Udharura wa kuangamizwa dola bandia la Israel katika mtazamo wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Udharura wa kuangamizwa dola bandia la Israel katika mtazamo wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Jun 16, 2018 09:39

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei jana alihutubia Baraza la Idi lililohudhuriwa na maafisa wa serikali, makamanda wa jeshi, mabalozi wa nchi za Kiislamu na wananchi wa matabaka mbalimbali na kusema kuwa: Utawala wa Kizayuni wa Israel ndiyo sababu kuu ya hitilafu zilizopo katika eneo la Mashariki na Kati na kati ya nchi za Waislamu.

  • Haniya: Azimio la UN dhidi ya Israel, ishara namna Marekani na Israel zinavyozidi kutengwa

    Haniya: Azimio la UN dhidi ya Israel, ishara namna Marekani na Israel zinavyozidi kutengwa

    Jun 16, 2018 03:08

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema hatua ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupasisha azimio linaloulaumu na kuulaani utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kufanya mauaji dhidi raia wa Kipalestina katika Ukanda wa Ghaza ni ithibati nyingine inayoonesha namna na utawala huo haramu na Marekani zinazidi kutengwa kimataifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS