Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Mlipuko waua Wapalestina 6 Ukanda wa Gaza, Israel yalaumiwa

    Mlipuko waua Wapalestina 6 Ukanda wa Gaza, Israel yalaumiwa

    May 06, 2018 02:55

    Wapalestina wasiopungua sita wanachama wa harakakati ya muqawama ya Palestina Hamas wameuawa katika mripuko wa bomu ulioukumba Ukanda wa Gaza jana Jumamosi.

  • Watawala wa nchi za Kiarabu waimarisha uhusiano wao na Israel kupitia michezo

    Watawala wa nchi za Kiarabu waimarisha uhusiano wao na Israel kupitia michezo

    May 04, 2018 23:33

    Nchi za Bahrain na Imarati zilitangaza siku ya Alhamisi kuwa zitashiriki katika mashindano ya pikipiki ambayo yalipangwa na utawala haramu wa Israel kuanza jana Ijumaa.

  • Jeshi la Syria lanasa silaha za Israel ilizowapa magaidi wakufurishaji

    Jeshi la Syria lanasa silaha za Israel ilizowapa magaidi wakufurishaji

    May 04, 2018 09:16

    Jeshi la Syria limepata idadi kubwa ya silaha, zikiwemo za kemikali, ambazo utawala haramu wa Israeli, ulikuwa umewapa magaidi wakufurishaji nchini humo.

  • Amnesty International: Israel lazima iwekewe vikwazo vya silaha

    Amnesty International: Israel lazima iwekewe vikwazo vya silaha

    May 04, 2018 02:48

    Shirika la Kimataifa la Msamaha Duniani jana usiku lilionesha kukasirishwa sana na jinai zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel huko Palestina na kuzitaka nchi za dunia ziiwekee vikwazo vya silaha Israel.

  • Imarati na Bahrain kushiriki sherehe za miaka 70 ya kuundwa utawala pandikizi wa Israel

    Imarati na Bahrain kushiriki sherehe za miaka 70 ya kuundwa utawala pandikizi wa Israel

    May 03, 2018 23:38

    Bahrain na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) zimetangaza kuwa zitashiriki katika mashindano ya pikipiki yaliyoitishwa na utawala wa Kizayuni wa Israel yanayoanza leo Ijumaa.

  • Gazeti la al-Watan la Oman: Jinamizi la Iran limemfanya Netanyahu aweweseke ovyo

    Gazeti la al-Watan la Oman: Jinamizi la Iran limemfanya Netanyahu aweweseke ovyo

    May 03, 2018 10:19

    Gazeti la al-Watan la nchini Oman limeandika kuwa, jinamizi la Iran linamwandama Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Utawala wa Kizayuni wa Israel akiwa macho na usingizini na kumfanya aweweseke na kuropokwa ovyo.

  • Onyo la Hizbullah ya Lebanon kwa Marekani, Israel na Saudi Arabia

    Onyo la Hizbullah ya Lebanon kwa Marekani, Israel na Saudi Arabia

    May 02, 2018 21:16

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon amesisitiza kuwa, Marekani, utawala wa Kizayuni wa Israel na Saudi Arabia haziwezi kukaa kimya baada ya kushindwa njama zao katika nchi za Iraq, Syria na Lebanon.

  • Waziri Mkuu wa zamani wa Israel: Madai ya Netanyahu kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran hayana thamani yoyote

    Waziri Mkuu wa zamani wa Israel: Madai ya Netanyahu kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran hayana thamani yoyote

    May 02, 2018 03:21

    Waziri Mkuu wa zamani wa Israel Ehud Barak amesema: matamshi ya Benjamin Netanyahu dhidi ya mpango wa nyuklia wa Iran hayana thamani yoyote.

  • Kupuuza Mogherini na Putin mchezo wa kitoto wa Benjamin Netanyahu

    Kupuuza Mogherini na Putin mchezo wa kitoto wa Benjamin Netanyahu

    May 01, 2018 07:37

    Ikulu ya Russia Kremlin imetangaza kuwa, Rais Vladimir Putin wa nchi hiyo amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na Benjamin Netanyahuu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Baraza la Taifa la Palestina kukutana ili kuamua kuhitimisha uhusiano na Israel

    Baraza la Taifa la Palestina kukutana ili kuamua kuhitimisha uhusiano na Israel

    Apr 28, 2018 23:06

    Baraza la Taifa la Palestina (PNC) linatazamiwa kukutana ili kujadili uamuzi wa kusitisha msimamo wa kuutambua rasmi utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS