-
Naeem Qassim: Hizbullah haitaweka chini silaha ila baada ya kuangamizwa Israel
Apr 28, 2018 11:43Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, harakati hiyo itakuwa tayari kuweka chini silaha pale tu itakapohakikisha utawala wa Kizayuni wa Israel umeangamizwa.
-
Baraza la Usalama latakiwa kuichukulia hatua Israel kwa kuwaua Wapalestina
Apr 28, 2018 03:07Balozi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amelitaka Baraza la Usalama la umoja huo liuchukulie hatua mara moja utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuendelea kuwaua shahidi Wapalestina wanaofanya maandamano ya amani katika mpaka wa Ghaza.
-
Rais wa Romania amtaka Waziri Mkuu ajiuzulu baada ya kutembelea Israel kwa siri
Apr 27, 2018 23:27Rais Klaus Iohannis wa Romania amemtaka Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Viorica Dancila ajiuzulu kutokana na safari yake ya siri katika utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Iran yaulaani vikali utawala wa kijangili wa Israel baada ya vitisho vipya
Apr 27, 2018 08:59Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema utawala wa Kizayuni wa Israel umethibitisha utambulisho wake wa kijangili kutokana na sera zake za "kujitanua, uvamizi na ubaguzi" ambazo ni chanzo cha migogoro yote Mashariki ya Kati.
-
Ismail Haniya: Waliomuua mwanasayansi wa Kipalestina watalipa gharamu kubwa
Apr 24, 2018 22:01Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema wahusika wa mauaji ya Fadi al Batsh, mwanachama msomi wa harakati hiyo, watalipa gharama kubwa kwa kumuua mwanasayansi huyo nchini Malaysia.
-
Je, Israel inatumia 'risasi za sumu' dhidi ya Wapalestina Gaza?
Apr 23, 2018 03:24Madaktari wa Palestina na wa kimataifa wameonyesha wasi wasi mkubwa walionao kuhusiana na majeraha mabaya yaliyosababishwa na risasi za wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya waandamanaji wa Kipalestina katika mpaka wa Gaza.
-
Maelfu ya Waisraeli waandamana kupinga udikteta wa Netanyahu
Apr 22, 2018 09:13Maelfu ya Waisraeli wamemiminika mabarabarani kushiriki maandamano ya kupinga kile waliochokitaja kama udikteta wa Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu sambamba na kushinikiza afungwe jela kutokana na kashfa za ufisadi wa kifedha zinazomuandama.
-
Kukiri Umoja wa Mataifa kuwa vitendo vya Israel ni vya aibu na kufedhehesha
Apr 21, 2018 07:21Akitoa radiamali yake kufuatia kuuliwa shahidi kijana wa Kipalestina aliyekuwa na umri wa miaka 15 katika maandamano ya siku ya Ijumaa huko Ghaza, Nikolay Mladenov Mratibu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Mashariki ya Kati amesema kuwa, kulengwa kwa riasasi vijana wa Kipalestina na wadunguaji wa Israel ni jambo la aibu na la kufedhehesha.
-
Balozi wa Palestina UN ataka kuchunguzwa jinai za Israel huko Gaza
Apr 20, 2018 23:40Balozi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa ametoa mwito kwa umoja huo kuunda kamisheni huru ya kuchunguza jinai za kutisha zinazofanywa na wanajeshi katili wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Kufichuliwa uhusiano mkubwa uliopo baina ya Saudia na Israel
Apr 20, 2018 09:23Gazeti la al Manar la Palestina limechapisha ripoti inayosema kuwa, mfalme wa Saudi Arabia ndiye muhandisi wa uhusiano wa Wasaudia na utawala wa Kizayuni wa Israel na kuandika kuwa: Tangu mwanzoni mwa mwaka 1990, mfalme wa hivi sasa wa Saudia ana uhusiano wa karibu na Israel.