Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Kufichuliwa uhusiano mkubwa uliopo baina ya Saudia na Israel

    Kufichuliwa uhusiano mkubwa uliopo baina ya Saudia na Israel

    Apr 20, 2018 09:23

    Gazeti la al Manar la Palestina limechapisha ripoti inayosema kuwa, mfalme wa Saudi Arabia ndiye muhandisi wa uhusiano wa Wasaudia na utawala wa Kizayuni wa Israel na kuandika kuwa: Tangu mwanzoni mwa mwaka 1990, mfalme wa hivi sasa wa Saudia ana uhusiano wa karibu na Israel.

  • HAMAS: Taarifa ya kikao cha

    HAMAS: Taarifa ya kikao cha "Dhahran" haikukidhi matakwa ya Wapalestina

    Apr 18, 2018 11:56

    Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema misingi thabiti ya taifa la Palestina ambayo ni misingi ya mataifa yote inayojumuisha watu, ardhi, itikadi na matakufu yao imepuuzwa katika taarifa iliyotolewa kwenye kikao cha viongozi wa nchi za Kiarabu kilichofanyika Dhahran, Saudi Arabia.

  • Siku ya Wafungwa wa Palestina na udharura wa ulimwengu kuzingatia jinai za Israel

    Siku ya Wafungwa wa Palestina na udharura wa ulimwengu kuzingatia jinai za Israel

    Apr 17, 2018 08:45

    Tarehe 17 Aprili ni Siku ya Wafungwa wa Palestina. Kwa mujibu wa takwimu rasmi za Kamati ya Wafungwa iliyo chini ya usimamizi wa Chama cha Ukombozi wa Palestina PLO na Jumuiya ya Asir ambayo inashughulikia masuala ya wafungwa wa Palestina, tokea mwaka 1967 hadi sasa, wafungwa wapatao 214 wa Kipalestina wameuawa shahidi katika jela za kuogofya za utawala haramu wa Israel.

  • Nasrullah: Israel imejichimbia kaburi kwa kuishambulia kijeshi Syria

    Nasrullah: Israel imejichimbia kaburi kwa kuishambulia kijeshi Syria

    Apr 14, 2018 03:09

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya nchini Lebanon amesema utawala wa Kizayuni wa Israel umefanya makosa makubwa zaidi kwa kuwashambulia wanajeshi wa Iran ulipolenga kituo cha anga cha Syria hivi karibuni.

  • Hamas: Kutunguliwa ndege za Israel Gaza, ni ishara ya kuwa macho muqawama

    Hamas: Kutunguliwa ndege za Israel Gaza, ni ishara ya kuwa macho muqawama

    Apr 12, 2018 10:04

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imesema kitendo cha harakati hiyo kufanikiwa kutungua ndege za kijeshi za utawala wa Kizayuni wa Israel zinazoshambulia Ukanda wa Gaza ni ithibati tosha kuwa harakati hiyo ya muqawama imesimama kidete na iko tayari kuzima chokochoko na uvamizi wa Tel Aviv.

  • Hamas yajibu vitisho vya Israel, yasema maandamano yataendelea

    Hamas yajibu vitisho vya Israel, yasema maandamano yataendelea

    Apr 10, 2018 03:00

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imesema maandamano makubwa ya amani yataendelea hadi pale mzingiro wa kibaguzi katika Ukanda wa Gaza utakapoondolewa.

  • Ukosoaji mkali wa kiongozi wa chama cha Leba cha Uingereza kwa hatua za kinyama za Israel dhidi ya Wapalestina

    Ukosoaji mkali wa kiongozi wa chama cha Leba cha Uingereza kwa hatua za kinyama za Israel dhidi ya Wapalestina

    Apr 09, 2018 01:27

    Jeremy Corbyn, kiongozi wa chama cha Leba nchini Uingereza amelaani mauaji ya Wapalestina yaliyofanywa na askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wakati wa maandamano kwenye mpaka wa Ukanda wa Gaza na kusisitiza kuwa mwenendo wa kuvifumbia macho na kuvinyamazia vitendo vya Israel vya kuwaua Wapalestina wanaoandamana bila ya kubeba silaha yoyote, inapasa ukomeshwe.

  • Israel: Tutaishambulia Hamas iwapo maandamano ya Gaza yataendelea

    Israel: Tutaishambulia Hamas iwapo maandamano ya Gaza yataendelea

    Apr 08, 2018 03:19

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umetishia kuishambulia Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas, iwapo Wapalestina wataendelea na maandamano yao katika mpaka wa Gaza.

  • Chama cha Leba cha UK chalaani ukatili wa Israel dhidi ya Wapalestina

    Chama cha Leba cha UK chalaani ukatili wa Israel dhidi ya Wapalestina

    Apr 08, 2018 03:10

    Jeremy Corbyn, Kiongozi wa Chama cha Leba cha nchini Uingereza amelaani vikali kimya cha nchi za Magharibi mbele ya mauaji ya makumi ya Wapalestina yaliyofanywa na vikosi katili vya utawala wa Kizayuni wa Israel katika mpaka wa Ghaza.

  • Tunisia yawazuia wanamichezo wa Israel kuingia nchini humo

    Tunisia yawazuia wanamichezo wa Israel kuingia nchini humo

    Apr 07, 2018 22:48

    Mahakama moja nchini Tunisia imewapiga marufuku wanamichezo wa taekwondo wa utawala wa Kizayuni wa Israel kuingia nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS