-
Siku ya Watoto Wapalestina, Watoto Ambao ni Waathirika wa Jinai za Israel
Apr 07, 2018 03:22Aprili Tano ilikuwa Siku ya Kimataifa ya Watoto wa Palestina. Katika siku hii, Wapalestina walisisitiza kuhusu kutetea haki za watoto na pia walikumbusha ukiukwaji mkubwa wa haki za watoto unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israeli ikiwa ni pamoja na kutiwa mbaroni, kuteswa na kuuawa.
-
Taarifa ya NAM ya kulaani jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
Apr 07, 2018 03:09Taarifa ya mwisho ya mkutano wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM) uliofunga shughuli zake jana Ijumaa katika mji mkuu wa Azerbaijan Baku, imelaani sera zilizo kinyume cha sheria za utawala wa Kizayuni wa Israel, huku ikisisitiza juu ya udharura wa kuwepo jitihada za pamoja za kutamatisha ukaliaji wa mabavu wa ardhi za Palestina.
-
"Marekani imemshurutisha Bin Salman kuufanya wa kawaida uhusiano wa Saudia na Israel"
Apr 06, 2018 09:26Imebainika kuwa Marekani imempa Mohammad Bin Salman, mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia masharti kadhaa ikiwemo kuufanya wa kawaida uhusiano wa Riyadh na Tel Aviv, ili imsadie kutwaa kiti hicho bila pingamizi.
-
Marekani yawataka Wapalestina wasisogelee maeneo yanayokaliwa kwa mabavu
Apr 06, 2018 03:27Mjumbe Maalumu wa Marekani katika Masuala ya Mashariki ya Kati amewataka wafanya maaadamano wa Palestina wasisogelee mpaka wa Ukanda wa Ghaza na ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na Israel.
-
Zarif aimbia NAM; Israel ndiyo tishio kuu kwa usalama wa dunia
Apr 05, 2018 10:25Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema utawala wa Kizayuni wa Israel ndilo tishio kubwa zaidi kwa usalama wa dunia huku akitoa mwito wa kuanzishwa uchunguzi wa kimataifa juu ya jinai za utawala huo dhidi ya Wapalestina.
-
Netanyahu afuta makubaliano na UN kuhusu wahajiri wa Kiafrika
Apr 03, 2018 21:59Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel amebatilisha makubaliano kati ya Tel Aviv na Umoja wa Mataifa, kuhusu kupelekwa katika nchi za Magharibi wahajiri wa Kiafrika wanaoishi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo ghasibu.
-
Bin Salman aukingia kifua hadharani utawala haramu wa Israel
Apr 03, 2018 09:29Katika hali ambayo jamii ya kimataifa inaendelea kulaani mauaji ya Wapalestina yaliyofanywa na jeshi la utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia amejitokeza hadharani na kuutambua utawala huo ghasibu, sambamba na kusisitiza kuwa Wazayuni wana haki juu ya ardhi yao.
-
Hamas yaitaka Arab League iishtaki Israel katika mahakama ya ICC
Apr 03, 2018 09:15Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imeitaka Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuwasilisha faili la mauaji yaliyofanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Gaza katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC.
-
Netanyahu awashukuru askari katili wa Israel waliowaua Wapalestina Ghaza
Apr 01, 2018 03:06Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amewapongeza na kuwashukuru wanajeshi wa utawala huo haramu waliowaua na kuwajweruhiwa mamia ya Wapalestina waliokuwa wakifanya maandamano ya amani hivi karibuni katika mpaka wa Ghaza, kushinikiza kurejea katika ardhi zao zilizoghusubiwa.
-
Israel imetegemea fatuwa za Mashekhe wa Saudia kuwaua Wapalestina
Mar 31, 2018 11:37Jeshi la Utawala wa Kizayuni wa Israel linasema linawaua Wapalestina wanaoandamana kwa kutegemea fatuwa ya mashekhe wa Kiwahhabi kutoka Saudi Arabia.