Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Wapalestina 8 wauawa shahidi na jeshi la Israel katika maandamano ya Siku ya Ardhi

    Wapalestina 8 wauawa shahidi na jeshi la Israel katika maandamano ya Siku ya Ardhi

    Mar 30, 2018 11:24

    Kwa akali Wapalestina wanane wameuawa shahidi na wanajeshi katili wa Israel katika maandamano ya Siku ya Ardhi, ya kulaani hatua ya utawala huo ghasibu ya kupora ardhi zao, yaliyofanyika leo karibu na uzio wa kibaguzi wa Israel katika Ukanda wa Gaza.

  • Mufti wa Tanzania azitaka taasisi za Hija zimuogope Mwenyezi Mungu

    Mufti wa Tanzania azitaka taasisi za Hija zimuogope Mwenyezi Mungu

    Mar 28, 2018 03:37

    Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeir amezitaka taasisi zote zinazojihusisha na usafirishaji wa mahujaji, kufanya shughuli zao kwa utaratibu unaostahili, huku wakimuogopa Mwenyezi Mungu.

  • Netanyahu maji yamfika shingoni; siasa zake zakosolewa hata na Wazayuni

    Netanyahu maji yamfika shingoni; siasa zake zakosolewa hata na Wazayuni

    Mar 28, 2018 02:59

    Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel anakabiliwa na hali mbaya ya kisiasa kutokana na ukosoaji dhidi ya siasa zake kuongezeka kila siku ambapo sasa maafisa wa zamani wa usalama wa utawala huo ghasibu wamejiunga na safu ya wakosoaji wake.

  • Jeshi la Israel lawateka nyara makumi ya Wapalestina

    Jeshi la Israel lawateka nyara makumi ya Wapalestina

    Mar 27, 2018 03:16

    Vikosi vya utawala wa Kizayuni vimewateka nyara makumi ya Wapalestina wakiwemo wanawake, katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu.

  • Ripoti: Facebook inahudumia malengo ya Israel

    Ripoti: Facebook inahudumia malengo ya Israel

    Mar 26, 2018 21:58

    Wizara ya Sheria ya Israel imetangaza kuwa, idara inayosimamia mtandao wa kijamii wa Facebook ilikubali asilimia karibu 85 ya matakwa ya utawala huo haramu ya kuondolewa na kuzuiwa maelezo yanayohusiana na Wapalestina na jinsi wanavyokandamizwa katika kurasa za mtandao huo.

  • Maandamano Tel Aviv baada ya kuhani kuwatusi Waafrika kuwa ni nyani

    Maandamano Tel Aviv baada ya kuhani kuwatusi Waafrika kuwa ni nyani

    Mar 25, 2018 10:12

    Watu Zaidi ya 24,000, wengi wakiwa ni wahajiri, wameandamana katika mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel wakilaani kubaguliwa Waafrika.

  • Kuendelea kujitanua Israel katika kivuli cha uungaji mkono wa Marekani

    Kuendelea kujitanua Israel katika kivuli cha uungaji mkono wa Marekani

    Mar 23, 2018 23:26

    Vyombo vya habari vimetangaza juhudi zinazofanywa na utawala haramu wa Israel kwa ajili ya kujenga maelfu ya nyumba mpya katika ardhi za Wapelestina.

  • Saudia yafungua anga yake kwa ndege zinazoenda Israel

    Saudia yafungua anga yake kwa ndege zinazoenda Israel

    Mar 23, 2018 03:12

    Kwa mara ya kwanza, Saudi Arabia imefungua anga yake na kuziruhusu ndege za shirika la Air India kutumia anga hiyo katika safari zake za kwenda na kutoka Israel.

  • Kenya ni mwenyeji wa Wiki ya Kupambana na Ubaguzi wa Rangi wa Israel

    Kenya ni mwenyeji wa Wiki ya Kupambana na Ubaguzi wa Rangi wa Israel

    Mar 22, 2018 11:36

    Duru ya 14 ya 'Wiki ya Kupambana na Ubaguzi wa Rangi wa Israel' inafanyika katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi ikijumuisha maonyesho ya filamu, mijadala na matamasha ya kiutamaduni.

  • Kiongozi wa Kizayuni aliyefananisha Waafrika na nyani akosolewa vikali

    Kiongozi wa Kizayuni aliyefananisha Waafrika na nyani akosolewa vikali

    Mar 21, 2018 10:47

    Kundi moja la kupambana na ubaguzi limemkosoa vikali kiongozi wa kidini wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuwafaninisha watu weusi wenye asili ya Afrika na nyani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS