Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Usalama wa viwanja vya ndege vya Saudia mikononi mwa shirika la Kizayuni la Israel

    Usalama wa viwanja vya ndege vya Saudia mikononi mwa shirika la Kizayuni la Israel

    Mar 20, 2018 03:52

    Ulinzi na usalama wa viwanja vya ndege vya Saudi Arabia umetiwa mikononi mwa shirika la Kizayuni la G4S kwa amri ya mfalme Salman bin Abdul Aziz wa nchi hiyo.

  • Czech kuuhamishia ubalozi wake Quds chini ya mashinikizo ya Israel

    Czech kuuhamishia ubalozi wake Quds chini ya mashinikizo ya Israel

    Mar 18, 2018 23:47

    Jamhuri ya Czech ipo chini ya mashinikizo ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuitaka ihamishie ubalozi wake katika mji wa Quds Tukufu (Jerusalem) kama ilivyofanya Marekani.

  • Lebanon kuongeza idadi ya askari katika mpaka wa ardhi zinazokaliwa na Israel

    Lebanon kuongeza idadi ya askari katika mpaka wa ardhi zinazokaliwa na Israel

    Mar 16, 2018 04:14

    Waziri Mkuu wa Lebanon Sa'ad Hariri amesema nchi yake itaongeza idadi ya wanajeshi katika eneo la mpaka wake na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Naim Qassem: Hizbullah iko tayari kujibu mashambulizi ya Israel

    Naim Qassem: Hizbullah iko tayari kujibu mashambulizi ya Israel

    Mar 16, 2018 00:29

    Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, wanamapambano wa harakati hiyo wako tayari kukabiliana na shambulio lolote la kijeshi au chokochoko za utawala haramu wa Israel.

  • Israel imebomoa nyumba elfu tano za Wapalestina katika mji wa Baitul Muqaddas

    Israel imebomoa nyumba elfu tano za Wapalestina katika mji wa Baitul Muqaddas

    Mar 15, 2018 03:50

    Ripoti mpya iliyotolewa na Kituo cha Utafiti wa Ardhi (LRC) cha Palestina inaonyesha kuwa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umebomoa nyumba zipatazo 5,000 za Wapalestina katika mji wa Baitul Muqaddas (Jerusalem) tangu ulipouvamia na kuanza kuukalia kwa mabavu mji huo mwaka 1967.

  • Kamanda wa SEPAH: Israel haiwezi kuthubutu kuichokoza Iran

    Kamanda wa SEPAH: Israel haiwezi kuthubutu kuichokoza Iran

    Mar 11, 2018 23:00

    Kamanda wa ngazi za juu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran SEPAH amesema, utawala wa Kizayuni wa Israel hauna uthubutu wa kuzusha chokochoko dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu wala uwezo wa kuhimili matokeo mabaya ya uchokozi huo.

  • Uzembe wa nchi za Kiarabu umeongeza uadui Marekani dhidi ya Quds Tukufu

    Uzembe wa nchi za Kiarabu umeongeza uadui Marekani dhidi ya Quds Tukufu

    Mar 09, 2018 03:25

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Riyadh Al-Maliki amesema, uzembe na upuuzaji wa nchi za Kiarabu kuhusu kadhia ya Palestina katika kipindi cha miongo kadhaa iliyopita ndicho chanzo cha kuongezeka uadui na jeuri za Marekani dhidi ya Quds Tukufu.

  • Ripoti: Israel imewateka nyara wanawake 15,000 wa Kipalestina

    Ripoti: Israel imewateka nyara wanawake 15,000 wa Kipalestina

    Mar 07, 2018 10:45

    Huku dunia ikiadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake hapo kesho, ripoti mpya ya shirika moja la Palestina inaonyesha kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umewatia mbaroni wanawake wasiopungua 15,000 wa Kipalestina tokea mwaka 1967 hadi sasa.

  • Mazungumzo ya Netanyahu na Trump sambamba na kuanza manuva makubwa ya kijeshi ya Marekani na Israel

    Mazungumzo ya Netanyahu na Trump sambamba na kuanza manuva makubwa ya kijeshi ya Marekani na Israel

    Mar 06, 2018 23:42

    Rais Donald Trump wa Marekani ameunga mkono katika mazungumzo yake na Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala ghasibu wa Israel misimamo ya utawala huo katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu na kusema kwamba, yumkini akashiriki katika hafla ya ufunguzi wa ubalozi wa Washington huko Beitul-Muqaddas.

  • Hizbullah: Chimbuko la matatizo yote Mashariki ya Kati ni donda la saratani la Israel

    Hizbullah: Chimbuko la matatizo yote Mashariki ya Kati ni donda la saratani la Israel

    Mar 05, 2018 00:33

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, chimbuko la matatizo yote katika nchi za Kiislamu na Kiarabu na hata kufukuzwa Wapalestina kutoka katika ardhi zao ni utawala ghasibu wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS