-
Tsunami ya ufisadi ndani ya utawala haramu wa Israel
Mar 05, 2018 00:31Tangu ulipoanzishwa utawala haramu wa Israel viongozi kadhaa wa utawala huo wamewekwa jela kutokana na ufisadi wa aina mbalimbali ukiwemo ufisadi wa kifedha.
-
Israel imewateka nyara mamia ya watoto wa Kipalestina
Mar 02, 2018 04:18Kituo cha Uchunguzi wa Mateka wa Kipalestina PPS kimetangaza kuwa, mamia ya watoto wa Kipalestina wanashikiliwa katika magereza ya utawala haramu wa Israel huku wakiadhibiwa na kuteswa vibaya.
-
Sheikh wa al-Aqsa aonya kuhusu huhamishiwa Quds ubalozi wa US
Feb 28, 2018 04:28Mhubiri mtajika wa Msikiti wa al-Aqsa, Sheikh Ikrima Sabri ametahadharisha kuhusu azma ya Marekani ya kuuhamishia ubalozi wake mjini Quds Tukufu kutoka Tel Aviv na kuitaja hatua hiyo kama ya kichokozi na kichochezi.
-
Silaha za Israel zapatikana katika ngome za ISIS (Daesh) Syria
Feb 27, 2018 22:02Vyombo vya habari nchini Syria vimerusha kanda ya video inayoonyesha silaha zilizotengenezewa Israel, katika maeneo yaliyokombolewa hivi karibuni kutoka kwenye makucha ya kundi la kigaidi la Daesh (ISIS), mkoani Dayr al-Zawr.
-
Ripoti: Tufani ya mabadiliko ya Bin Salman Saudia ni kuvutia radhi za Israel na Marekani
Feb 27, 2018 11:16Katika kuendelea kwa wimbi la mabadiliko na kuwapiga kalamu nyekundu viongozi wa ngazi za juu nchini Saudia, vyombo mbalimbali vya nchi za Kiarabu vimeripoti kwamba lengo la Mohammad Bin Salman Al Saud, mrithi wa kiti cha ufalme wa nchi hiyo katika kutekeleza mabadiliko hayo ni kuvuitia ridhaa ya Marekani na Israel.
-
EU: Vitongoji vyote vya walowezi wa Kiyahudi ni haramu
Feb 27, 2018 10:44Federica Mogherini, Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema vitongoji vyote vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ni haramu na vizingiti vya kupatikana amani Mashariki ya Kati.
-
Wakristo Palestina walalamikia ukandamizaji wanaofanyiwa na Israel
Feb 26, 2018 03:59Askofu Mkuu wa Kanisa la Orthodox Mashariki huko Palestina amelalamikia vikali unyanyasaji na ukandamizaji unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wakristo wa Palestina na kusema kuwa lengo la Israel ni kupunguza kabisa idadi ya Wakristo huko Palestina.
-
Wahajiri wa Kiafrika walaani ubaguzi wanaotendewa na utawala wa Kizayuni
Feb 25, 2018 04:04Maelfu ya wahajiri wa Kiafrika wameandamana mjini Tel Aviv kulaani ubaguzi wanaotendewa na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kigogo wa makasino kugharamia kuhamishiwa ubalozi wa Marekani Baitul-Muqaddas
Feb 24, 2018 23:19Sheldon Adelson, bilionea wa Kiyahudi ambaye ni muungaji mkono mkubwa wa utawala ghasibu wa Israel ametangaza kuwa, atatoa gharama za kuhamishiwa ubalozi wa Marekani huko Baitul-Muqaddas.
-
Israel yawasweka jela wakimbizi wa Kiafrika
Feb 22, 2018 00:59Israel imewafunga jela Waafrika 7 raia wa Eritrea walioomba hifadhi katika utawala huo baada ya wakimbizi hao kukataa kupelekwa Rwanda kwa mabavu.