-
Ndege za Israel zashambulia Wapalestina wa Ukanda wa Gaza
Aug 09, 2017 02:50Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel zimeshambulia makazi ya Wapalestina wa Gaza usiku wa kuamkia leo na kujeruhi watu kadhaa.
-
Russia yatishia kuishambulia Israel iwapo itavunja makubaliano ya kusitisha vita Syria
Aug 07, 2017 22:33Naibu kamanda wa vikosi vya jeshi la Russia huko kusini mwa Syria ameutahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel kwamba, uwapo utakiuka makubaliano ya kusitisha mapigano kusini mwa Syria, Moscow inajua nini inapaswa kufanya.
-
Wazayuni waandamana kulalamikia ufisadi wa Netanyahu
Aug 06, 2017 02:29Mamia ya Wazayuni wamefanya maandamano katika mji wa Petah Tikva dhidi ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu anayeandamwa na tuhuma za ufisadi.
-
Zarif: Israel, tishio kuu kwa ulimwengu wa Kiislamu
Aug 01, 2017 08:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Muhammad Javad Zarif ameutaja utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ni tishio kuu kwa ulimwengu wa Kiislamu na kutahadharisha kuwa, utawala huo bandia unafanya juu chini kuyayahudisha maeneo ya Palestina unayoyakaliwa kwa mabavu.
-
Al-Ahd: Saudia na Israel ni washirika wakubwa katika kutenda jinai ndani ya nchi za Kiislamu
Jul 31, 2017 03:12Mtandao wa habari wa al-Ahd wa nchini Lebanon umeandika kuwa, utawala wa Aal-Saud na utawala wa Kizayuni wa Israel ni washirika wawili wanaotenda jinai kubwa dhidi ya binadamu katika nchi za Kiislamu.
-
Wapalestina kuwasilisha Mahakama ya ICC faili la mashtaka ya ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni
Jul 30, 2017 23:57Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imetangaza kuwa itawasilisha katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) faili la mashtaka dhidi ya ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni unaofanywa na utawala haramu wa Israel.
-
Saudia na Imarati zinajiandaa kuweka wazi mahusiano yao na utawala wa Kizayuni
Jul 29, 2017 09:14Sambamba na kuwepo mahusiano ya muda mrefu kati ya nchi zinazolizingira kwa kila upande taifa la Qatar na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, habari zinaarifu kwamba Saudia na Imarati zinajiandaa kuweka wazi mahusiano hayo kwa walimwengu.
-
Wairani wafanya maandamano Tehran kulaani jinai za Israel
Jul 28, 2017 21:52Wairani wa matabaka yote jana Ijumaa walifanya maandamano katika mji mkuu Tehran kulaani ukatili unaoendelea kufanywa na utawala ghasibu wa Israel dhidi ya raia wa Palestina katika mji mtakatifu wa Quds sambamba na jinai za kutisha dhidi ya Waislamu wa Rohingya.
-
Mtaalamu wa UN: Israel haifai kufanya maamuzi ya upande mmoja kuhusu al-Aqsa
Jul 27, 2017 11:28Mtaalamu wa masuala ya haki wa Umoja wa Mataifa amesema utawala wa Israel hauna mamlaka na uwezo wa kufanya maamuzi ya upande mmoja kuhusu usimamizi wa Msikiti wa al-Aqsa ulioko Quds tukufu inayokaliwa kwa mabavu.
-
Radiamali ya Wajordan dhidi ya jinai za ubalozi wa Israel na kimya cha serikali ya Amman
Jul 26, 2017 22:51Kuuliwa kwa kupigwa risasi raia wawili wa Jordan na mwanajeshi wa ubalozi wa Israel mjini Amman kumezua malalamiko na radiamali kali ya wabunge wa Jordan.