Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Arab League: Israel inacheza na moto kuhusu kadhia ya Quds

    Arab League: Israel inacheza na moto kuhusu kadhia ya Quds

    Jul 23, 2017 09:41

    Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeutahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel kwamba 'unacheza na moto' kutokana na kushadidisha ukandamizaji dhidi ya Wapalestina wa Quds Tukufu inayokaliwa kwa mabavu.

  • António Guterres: Israel ijiepushe kufanya ukatili huko Quds

    António Guterres: Israel ijiepushe kufanya ukatili huko Quds

    Jul 23, 2017 02:14

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameeleza wasiwasi wake kuhusu ukatili na hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuwazuia Wapalestina kutekeleza ibada ya Swala ndani ya Msikiti wa al Aqsa. 

  • Jinai za Wazayuni katika Msikiti wa Al Aqsa, mwanzo wa Intifadha mpya Palestina

    Jinai za Wazayuni katika Msikiti wa Al Aqsa, mwanzo wa Intifadha mpya Palestina

    Jul 22, 2017 03:29

    Msemaji wa Brigedi ya Ezzedin Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Hamas amesema hujuma ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya msikiti wa al Aqsa ni mwanzo wa mwamko mwingine (Intifadha) wa Wapalestina.

  • Watunisia waandamana kupinga maonyesho ya vichekesho ya Mzayuni nchini kwao

    Watunisia waandamana kupinga maonyesho ya vichekesho ya Mzayuni nchini kwao

    Jul 20, 2017 23:03

    Watunisia wamefanya maandamano mjini Tunis kupinga maonyesho ya vichekesho ya Michel Boujenah Mzayuni mwenye uraia wa nchi mbili za Ufaransa na Tunisia nchini mwao.

  • Hizbullah: Israel itashtushwa mno na uwezo wetu wa kijeshi iwapo itatuchokoza

    Hizbullah: Israel itashtushwa mno na uwezo wetu wa kijeshi iwapo itatuchokoza

    Jul 14, 2017 09:48

    Mkuu wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah nchini Lebanon, amesema kuwa, iwapo utawala wa Kizayuni utaanzisha vita vyovyote dhidi ya harakati hiyo, Tel Aviv itashangazwa na uwezo mkubwa wa kijeshi wa wanamapambano wa Hizbullah.

  • Wapalestina wapongeza hatua ya Afrika Kusini kupunguza uhusiano na Israel

    Wapalestina wapongeza hatua ya Afrika Kusini kupunguza uhusiano na Israel

    Jul 09, 2017 09:34

    Wapalestina wamepongeza uamuzi wa hivi karibuni wa chama tawala cha Afrika Kusini ANC, ya kupunguza kiwango cha uhusiano wake na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Hashdu sh-Sha'abi: Magaidi wa Kiwahabi na Saudia hawana lengo jingine ghairi ya kuitumikia Israel

    Hashdu sh-Sha'abi: Magaidi wa Kiwahabi na Saudia hawana lengo jingine ghairi ya kuitumikia Israel

    Jul 04, 2017 03:30

    Naibu Kamanda Mkuu wa Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi nchini Iraq, amesema kuwa makundi ya kigaidi na waungaji wake mkono ikiwemo Marekani na Saudia, hawana malengo mengine ghairi ya kuutumikia utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

  • Njama ya Israel kwa ajili ya kupanua mahusiano na nchi za Kiarabu hususan Saudia

    Njama ya Israel kwa ajili ya kupanua mahusiano na nchi za Kiarabu hususan Saudia

    Jul 02, 2017 23:13

    Baadhi ya viongozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewasilisha mapendekezo mpya kwa ajili ya kupanua zaidi uhusiano wa utawala huo na nchi za Kiarabu.

  • Takwimu Jumapili

    Takwimu Jumapili

    Jul 01, 2017 23:44

    Leo ni Jumapili tarehe saba Shawwal 1438 Hijria, sawa na tarehe Pili Julai 2017.

  • Osama Hamdan: Utawala wa Kizayuni wa Israel ni tishio kwa usalama wa dunia

    Osama Hamdan: Utawala wa Kizayuni wa Israel ni tishio kwa usalama wa dunia

    Jun 30, 2017 23:03

    Mjumbe wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, kadhia ya Palestina itapatiwa ufumbuzi tu kwa kusambaratishwa na kuangamizwa adui Mzayuni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS