-
Viongozi wa Israel wapatwa na kiwewe kufuatia hotuba ya kiongozi wa Hizbullah
Jun 25, 2017 23:47Viongozi mbalimbali wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wamepatwa na wasi wasi mkubwa kufuatia hotuba ya siku ya Ijumaa iliyopita ya Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya Quds.
-
Rouhani: Ugaidi eneo la Mashariki ya Kati ni sehemu ya ajenda ya Israel
Jun 21, 2017 03:14Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema operesheni na harakati za kigaidi zinazoshuhudiwa katika eneo hili la Mashariki ya Kati ni sehemu ya ajenda ya utawala wa Kizayuni wa Israel kwa lengo la kuwashughulisha watu ili wasahau kadhia muhimu ya Palestina.
-
Larijani: Hatua zote za Saudia ni kwa maslahi na manufaa ya Israel
Jun 20, 2017 03:25Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ameukosoa vikali utawala wa Aal-Saud kwa kushirikiana kufa kupona na utawala wa Kizayuni wa Israel na kubainisha kuwa, hatua zote za Riyadh katika eneo hili ni kwa maslahi na manufaa ya Tel Aviv.
-
Israel yaingiwa na kiwewe kuhusu kushadidi Intifadha huku Siku ya Kimataifa ya Quds ikikaribia
Jun 19, 2017 02:36Intifadha au mwamko wa Wapalestina unazidi kuchacha huku Siku ya Kimataifa ya Quds ikikaribia jambo ambalo limewatia kiwewe wakuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Israel yatengua haki ya Wapalestina kutembeleana Ramadhani
Jun 18, 2017 09:51Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel ametangaza kubatilisha 'haki' ya Wapalestina kutembeleana katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani kufuatia mauaji ya mwanajeshi wa kike wa utawala huo wa Kizayuni.
-
Saudia na Israel zafanya mazungumzo kuhusu makubaliano ya kibiashara
Jun 18, 2017 09:06Gazeti la The Times la Uingereza limefichua kuwa Saudi Arabia na utawala wa Kizayuni wa Israel zinafanya mazungumzo juu ya kile kinachotajwa kuwa mabadilishano rasmi ya kihistoria ya kibiashara.
-
Kufichuliwa ushiriki wa Imarati katika vitendo vya kigaidi vya Israel
Jun 17, 2017 07:49Habari mbalimbali zimearifu tukio jipya la namna Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) unavyoshiriki katika vitendo vya kigaidi vya utawala wa Israel; suala ambalo katika siku za hivi karibuni kwa mara nyingine tena limeakisi ushirikiano uliopo kati ya watawala wa Kiarabu na maghasibu wanaoikalia Quds Tukufu kwa mabavu katika kuwakandamiza wananchi wa Palestina na kusogeza mbele siasa za kigaidi za Israel.
-
Wazayuni waendelea kukivunjia heshima Kibla cha Kwanza cha Waislamu
Jun 14, 2017 23:48Makumi ya walowezi wa Kizayuni jana Jumatano waliuvamia tena msikiti wa al Aqswa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu.
-
Wazayuni waendelea kukivunjia heshima Kibla cha Kwanza cha Waislamu
Jun 14, 2017 21:59Makumi ya walowezi wa Kizayuni jana Jumatano waliuvamia tena msikiti wa al Aqswa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu.
-
Utumiaji wa dini kwa malengo ya kisiasa, sura ya pamoja ya utawala wa Aal Saud na Israel
Jun 13, 2017 03:26Moja kati ya mambo yanayozikutanisha pamoja tawala za Aal Saudi huko Saudi Arabia na ule wa Kizayuni wa Israel ni kutumia dini, ibada na maeneo ya kidini kwa ajili ya kufikia malengo ya kisiasa.