-
Polisi ya Israel yafunga Msikiti wa al-Aqsa, wazuia ibada za Waislamu
Jun 11, 2017 09:36Maafisa wa polisi ya utawala wa Kizayuni wa Israel wamefunga na kuuzingira Msikiti wa al-Aqsa sambamba na kuwazuia waumini wa Kiislamu kuingia na kutoka kwenye msikiti huo, ambacho ni Kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Umoja wa Ulaya wakosoa kuendelea ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni
Jun 10, 2017 03:11Umoja wa Ulaya umekosoa mwenendo wa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika maeneo ya Wapalestina.
-
Alkhamisi 8 Juni, 2017
Jun 07, 2017 21:54Leo ni Alkhamisi tarehe 13 Ramadhani 1438 Hijria, sawa na 8 Juni, 2017.
-
Mfungamano mkubwa baina ya vitendo vya Aal Khalifa na utawala wa Kizayuni katika kukandamiza wapinzani
Jun 07, 2017 01:37Serikali ya ukoo wa Aal Khalifa nchini Bahrain inafanya jinai kubwa dhidi ya raia wa kawaida, wanaharakati na shakhsia mbalimbali wa nchi hiyo kiasi kwamba vitendo vyake hivyo havina tofauti yoyote na jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina.
-
HRW yalaani jinai za Wazayuni dhidi ya Wapalestina
Jun 05, 2017 09:52Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limekosoa vikali jinai, ukandamizaji, ubaguzi na ukaliwaji wa mabavu wa ardhi za Palestina na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa zaidi ya miongo mitano sasa.
-
Mfalme wa Morocco akosa kuhudhuria mkutano wa ECOWAS kwa ajili ya Netanyahu
Jun 04, 2017 02:49Mfalme Muhammad wa Sita wa Morocco amekosa kuhudhuria mkutano wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika (ECOWAS) unaofanyika leo nchini Liberia kwa kuwa unahudhuriwa na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu.
-
Onyo kuhusu Quds na kulegeza kamba Donald Trump
Jun 03, 2017 02:48Walimwengu wamezidi kukasirishwa na ukandamizaji unaoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji mtakatifu wa Quds. Huku hayo yakiripotiwa, Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa mwito wa kuitishwa Ijumaa ya ghadhabu dhidi ya utawala wa Kizayuni.
-
Israel yakiri kuwapa matibabu magaidi wanaojeruhiwa nchini Syria
Jun 02, 2017 09:37Afisa mmoja wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa, jeshi la utawala huo linawapa matibabu magaidi na wapinzani wa serikali ya Syria ambao wanajeruhiwa vitani nchini Syria na kuutaja msaada huo kuwa eti ni 'kazi takatifu zaidi'.
-
Utawala wa Kizayuni wa Israel wakiri kuwa ni mvamizi wa ardhi za Palestina
Jun 02, 2017 03:38Gazeti la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel la Haaretz limekiri wazi kuwa, Israel imevamia na kukalia kwa mabavu ardhi za Palestina.
-
Kuongezeka umasikini Israel, matokeo ya siasa za kupenda vita za baraza la mawaziri la Netanyahu
Jun 01, 2017 03:38Katika hali ambayo vituo vya utafiti vimeelezea kuwepo ongezeko la umasikini huko katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu, baraza la mawaziri la Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, bado linaendelea na siasa zake za kupenda vita.