Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Wafanyakazi wa Norway wasusia bidhaa za utawala wa Israel

    Wafanyakazi wa Norway wasusia bidhaa za utawala wa Israel

    May 13, 2017 09:05

    Jumuiya kubwa zaidi ya wafanyakazi Norway imetangaza kususia bidhaa za utawala wa Kizayuni wa Israel kulalamikia ukandamizaji unaofanya na utawala huo dhidi ya Wapalestina.

  • Mamlaka ya Ndani ya Palestina bega kwa bega na Israel katika kuuhujumu Ukanda wa Gaza

    Mamlaka ya Ndani ya Palestina bega kwa bega na Israel katika kuuhujumu Ukanda wa Gaza

    May 12, 2017 22:02

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imeifunga ofisi yake katika Ukanda wa Gaza na kukabidhi mamlaka ya uendeshaji wake kwa ofisi ya jumuiya hiyo iliyoko Ramallah, Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Mswada wa ubaguzi wa rangi wapasishwa katika bunge la Israel

    Mswada wa ubaguzi wa rangi wapasishwa katika bunge la Israel

    May 11, 2017 21:57

    Bunge la utawala wa ubaguzi wa rangi wa Israel Knasset, limepasisha kwa haraka katika hatua ya kwanza, mswada wa kibaguzi unaojulikana kama 'Taifa la Kiyahudi.'

  • Kukiri Saudi Arabia kushirikiana na Israel katika mauaji ya watu wa Yemen

    Kukiri Saudi Arabia kushirikiana na Israel katika mauaji ya watu wa Yemen

    May 09, 2017 01:56

    Duru za habari zinadokeza kuwa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limeshirikiana wazi wazi na jeshi la Saudia katika kuhujumu eneo la Ta'izz nchini Yemen jambo linaloashiria kukiri wazi wazi Saudi kuwa inahitaji msaada wa utawala huo haramu katika kuwakandamiza wanamapinduzi wa Yemen.

  • Saudia yakiri kushirikiana na Israel katika vita vyake vya kichokozi dhidi ya Yemen

    Saudia yakiri kushirikiana na Israel katika vita vyake vya kichokozi dhidi ya Yemen

    May 08, 2017 10:51

    Vyombo mbalimbali vya habari sambamba na kuripoti ushiriki wa wazi wa jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika vita vya Saudia dhidi ya Yemen ikiwemo hujuma za ndege za utawala huo katika mkoa wa Taiz, vimetangaza habari ya kukiri serikali ya Riyadh kuwa inahitaji msaada wa Tel-Aviv katika vita hivyo.

  • Waislamu na wanaharakati waandamana London, Uingereza dhidi ya Israel

    Waislamu na wanaharakati waandamana London, Uingereza dhidi ya Israel

    May 07, 2017 08:52

    Mamia ya Waislamu nchini Uingereza wamefanya maandamano katika mji mkuu London kulaani ukaliaji wa mabavu na upanuzi wa vitongoji vya walowezi za Kiyahudi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.

  • Kuongezeka ushirikiano wa kijeshi wa Marekani na Israel wakati wa Donald Trump

    Kuongezeka ushirikiano wa kijeshi wa Marekani na Israel wakati wa Donald Trump

    May 06, 2017 01:55

    Takwimu zinaonesha kuwa, ushirikiano wa kijeshi baina ya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel umeongezeka katika kipindi hiki ambapo Donald Trump anatarajiwa kutembelea ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni. Rais Donald Trump wa Marekani anatarajiwa kutembelea ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Israel mwisho mwa mwezi huu wa Mei.

  • UNESCO yakosoa sera za Israel za kukalia kwa mabavu Palestina

    UNESCO yakosoa sera za Israel za kukalia kwa mabavu Palestina

    May 03, 2017 07:10

    Kamati ya Utendaji ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Utamaduni na Sayansi UNESCO Jumanne ilipitisha azimio ambalo liliulaani utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kukiuka sheria za kimataifa katika mji wa Quds (Jerusalem) na Ukanda wa Ghaza.

  • Kushadidi vitendo vya utumiaji mabavu vya Israel katika kivuli cha himaya ya Marekani

    Kushadidi vitendo vya utumiaji mabavu vya Israel katika kivuli cha himaya ya Marekani

    May 02, 2017 08:23

    Ripoti kutoka Palestina zinaonyesha juu ya kuchukua wigo mpana zaidi vitendo vilivyo dhidi ya ubinadamu vinavyofanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina.

  • Israel yaanza tena ujenzi wa ukuta wa kibaguzi Ukingo wa Magharibi

    Israel yaanza tena ujenzi wa ukuta wa kibaguzi Ukingo wa Magharibi

    Apr 30, 2017 03:08

    Utawala haramu wa Israel umeanza tena ujenzi tata wa ukuta wa kibaguzi unaotenganisha Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na mji wa Beit Lahm.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS