Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Israel yaanza tena ujenzi wa ukuta wa kibaguzi Ukingo wa Magharibi

    Israel yaanza tena ujenzi wa ukuta wa kibaguzi Ukingo wa Magharibi

    Apr 30, 2017 03:08

    Utawala haramu wa Israel umeanza tena ujenzi tata wa ukuta wa kibaguzi unaotenganisha Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na mji wa Beit Lahm.

  • Korea Kaskazini yasema itaiadhibu vikali Israel

    Korea Kaskazini yasema itaiadhibu vikali Israel

    Apr 30, 2017 02:51

    Korea Kaskazini imesema itauadhibu vikali utawala haramu wa Israel kwa kuthubutu kuuvunjia heshima uongozi wa nchi hiyo.

  • Iran: Marekani, Israel na Uingereza haziutakii kheri umma wa Kiislamu

    Iran: Marekani, Israel na Uingereza haziutakii kheri umma wa Kiislamu

    Apr 29, 2017 22:03

    Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kuwepo kijeshi Marekani na nchi za Magharibi katika eneo la Mashariki ya Kati kuna madhara makubwa kwa mataifa ya eneo hili kwani licha ya kuja na kaulimbiu ya kuimarisha usalama na amani, lakini madola hayo ya kibeberu ndiyo sababu kuu ya kutoweka amani na usalama katika eneo hili.

  • Iran yalaani hujuma za Israel nchini Syria

    Iran yalaani hujuma za Israel nchini Syria

    Apr 29, 2017 03:10

    Iran imelaani vikali hujuma za mara kwa mara za kijeshi za utawala haramu wa Israel katika ardhi ya Syria na kusema lengo ni kuwapa nguvu magaidi wa kitakfiri Syria ambao wanaendelea kudhoofishwa kila siku na jeshi la nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Wazayuni washambulia kwa makombora uwanja wa ndege Damascus, Syria

    Wazayuni washambulia kwa makombora uwanja wa ndege Damascus, Syria

    Apr 27, 2017 03:48

    Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel umefanya shambulizi la anga dhidi ya uwanja wa ndege wa Damascus nchini Syria, wiki tatu baada ya Marekani kutekeleza hujuma kama hiyo ya kichokozi.

  • Baitul Muqaddas, lengo la uvamizi na sera za kutaka kujitanua za Israel

    Baitul Muqaddas, lengo la uvamizi na sera za kutaka kujitanua za Israel

    Apr 26, 2017 08:20

    Wizara ya Makazi ya utawala wa Kizayuni wa Israel imepasisha mpango wa ujenzi wa nyumba mpya za walowezi wa Kiyahudi katika ardhi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu ya kaskazini magharibi mwa Quds tukufu licha ya upinzani mkubwa wa kimataifa.

  • Marwan Al-Barghuthi ayaandikia barua mabunge ya dunia kuomba uungaji mkono kwa wafungwa wa Palestina

    Marwan Al-Barghuthi ayaandikia barua mabunge ya dunia kuomba uungaji mkono kwa wafungwa wa Palestina

    Apr 25, 2017 22:02

    Marwan Al-Barghuthi, Mpalestina anayesusia kula ambaye anashikiliwa kwenye gereza la utawala wa Kizayuni wa Israel ameyaandikia barua mabunge ya dunia akiyaomba yawaunge mkono Wapalestina wanaoshikiliwa kwenye magereza ya utawala huo haramu.

  • Kundi la kigaidi na kitakfiri la DAESH (ISIS) liliiomba radhi Israel kwa kuishambulia kimakosa

    Kundi la kigaidi na kitakfiri la DAESH (ISIS) liliiomba radhi Israel kwa kuishambulia kimakosa

    Apr 24, 2017 10:35

    Aliyekuwa Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel Moshe Ya'alon amefichua kuwa magaidi wa kundi la ukufurishaji la Daesh waliwahi mara moja kuwashambulia kimakosa askari wa utawala huo katika eneo la miinuko ya Golan kusini mwa Syria lakini waliomba radhi haraka.

  • Ansarullah: Marekani na Israel ni pande mbili za sarafu moja

    Ansarullah: Marekani na Israel ni pande mbili za sarafu moja

    Apr 24, 2017 03:44

    Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen, Abdul-Malik Badreddin al-Houthi amesema Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel ni pande mbili za sarafu moja ambazo kwa pamoja zinaunga mkono kwa hali na mali juhudi za kuibomoa na kuisambaratisha Yemen kupitia uvamizi wa kijeshi ulioanzishwa na Saudi Arabia.

  • Uvamizi na ukaliaji mabavu wa Israel, chimbuko la changamoto zote za Mashariki ya Kati

    Uvamizi na ukaliaji mabavu wa Israel, chimbuko la changamoto zote za Mashariki ya Kati

    Apr 22, 2017 03:30

    Uvamizi na ukaliaji mabavu ndilo chimbuko la mijadala ya kimataifa katika Mashariki ya Kati, lakini Marekani imekuwa ikiyalaumu mataifa yote isipokuwa utawala haramu wa Israel na badala ya kuipatia ufumbuzi kadhia hiyo imekuwa ikifanya njama za kufunika jinai za utawala huo vamizi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS