-
Intifadha ya Quds yamtia kiwewe Netanyahu
Apr 10, 2016 10:42Waziri Mkuu wa Utawala Haramu wa Israel ameshindwa kuficha wasiwasi wake kutokana na Wapalestina kuendeleza Intifadha ya Quds dhidi ya utawala wa Kizayuni
-
Wapalestina waandaa azimio jipya dhidi ya Israel
Apr 08, 2016 03:50Ujumbe wa Palestina katika Umoja wa Mataifa umeandaa rasimu ya azimio jipya la kulaani hatua ya utawala haramu wa Israel kuendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa kizayuni katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu.
-
Hamas yaonya kuhusu hali mbaya ya kibinadamu Ghaza
Apr 06, 2016 02:59Afisa mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu Palestina, Hamas, ameonya kuhusu maafa ya kibinadamu katika Ukanda wa Ghaza kutokana na mzingiro wa kinyama wa utawala haramu wa Israel katika eneo hilo.
-
EU yatakiwa kususia bidhaa zinazozalishwa na Wazayuni
Apr 05, 2016 03:13Umoja wa Ulaya umetakiwa kususia bidhaa zinazozalishwa na utawala wa kizayuni wa Israel.
-
UN yapinga maonyesho ya kipropaganda ya Israel
Apr 03, 2016 23:08Umoja wa Mataifa umepinga maonyesho ya picha za kipropaganda za utawala wa Kizayuni wa Israel katika makao makuu ya umoja huo mjini New York.
-
Israeli imetoa matibabu kwa magaidi 2,100 kutoka Syria
Apr 01, 2016 03:22Utawala wa Kizayuni wa Israel hadi sasa umetoa matibabu kwa magaidi zaidi ya 2,100 wanaopigana ndani ya Syria kuiangusha serikali halali ya nchi hiyo.
-
Upinzani wa Marekani na Israel kwa azimio la Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa
Apr 01, 2016 02:37Katika kuendeleza siasa zake za kuunga mkono sera za kujipanua za utawala wa Kizayuni wa Israel, kwa mara nyengine tena serikali ya Marekani imechukua msimamo usio wa kiutu na dhidi ya Wapalestina.
-
Silaha gani ni ya hatari zaidi inayotumiwa na MOSSAD kwa ajili ya kuilinda Israel?
Mar 26, 2016 23:35Mtandao wa Intaneti wa "Sauti ya Israel" umefichua kuwa, silaha ya hatari zaidi inayotumiwa na shirika la kijasusi la utawala wa Kizayuni MOSSAD ni mwili wa mwanamke wa Kiyahudi.
-
Dunia yaendelea kupinga jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
Mar 26, 2016 23:34Takwimu na ripoti zilizotolewa hivi karibuni kuhusu ukandamizaji wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya raia wa Palestina zinaonesha kutokea kwa maafa ya kutisha yaliyofanywa na Israel katika duru mpya ya ukatili wa utawala huo huko katika ardhi za Palestina katika miezi ya hivi karibuni.
-
Katibu Mkuu wa Hizbullah: Vita vijavyo vitaigharimu mno Israel
Mar 21, 2016 23:07Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema vita vyovyote itakavyoanzisha Israel dhidi ya Lebanon mnamo siku zijazo ni chokochoko ambayo itaugharimu na kuutia hasara kubwa utawala huo haramu wa Kizayuni.