-
Afisa mkuu wa UN ajiuzulu kutokana na jinai za Israel
Mar 21, 2016 11:42Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa wa masuala ya haki za binadamu huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu ametangaza kujiuzulu wadhifa wake huo, kutokana na kile alichokitaja kuwa ukosefu wa ushirikiano wa utawala wa kizayuni wa Israel.
-
Wamarekani waandamana kuupinga utawala wa Kizayuni wa Israel
Mar 21, 2016 03:48Idadi kubwa ya Mayahudi ambao ni wafuasi wa Kanisa la Orthodox pamoja na wanaharakati wa Kipalestina wameandamana nchini Marekani na kukusanyika mbele ya Ikulu ya White House wakiulaani utawala haramu wa Israel unaotenda jina kila leo dhidi ya Wapalestina.
-
Wapalestina wengine wawili wauawa shahidi na jeshi la Israel
Mar 17, 2016 10:30Jeshi katili la utawala wa kizayuni wa Israel limeua shahidi vijana wawili wa Kipalestina, katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Wapalestina wengine wawili wauwa shahidi na jeshi la Israel
Mar 17, 2016 10:29Jeshi katili la utawala wa kizayuni wa Israel limeua shahidi vijana wawili wa Kipalestina, katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Israel yanyakua ardhi zaidi za Wapalestina
Mar 15, 2016 23:27Israel imenyakua kipande kikubwa cha ardhi ya Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan hatua ambayo inakiuka sheria za kimataifa zinazoitaka iache kujitanua katika ardhi za Wapalestina.
-
Wazayuni wamzuia Waziri wa Mambo ya Nje wa Indonesia kuingia Palestina
Mar 13, 2016 21:54Utawala wa kizayuni wa Israel umemzuia Waziri wa Mambo ya Nje wa Indonesia, Retno Marsudi kuingia katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu, ambapo alitazamiwa kukutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Palestina.
-
Magaidi wakamatwa na silaha za Israel nchini Syria
Mar 11, 2016 23:03Vyombo vya usalama vya nchini Syria vimetangaza kuwa vimekamata magaidi kadhaa waliokuwa na silaha za utawala wa Kizayuni wa Israel nchini humo.
-
Kupungua kwa uungaji mkono wa chama cha Likud
Mar 11, 2016 04:34Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa na kanali ya televisheni ya Israel kuhusu uchaguzi ujao wa Bunge la utawala huo yameonesha kuwa, chama tawala cha Likud kinachoongozwa na Benjamin Netanyahu kitapata viti 25 tu vya Bunge.
-
Iran: Israel ni hatari kwa amani na usalama wa dunia
Mar 10, 2016 04:20Mwakilishi wa Iran katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amesema vichwa vya silaha za nyuklia vinavyomilikiwa na utawala haramu wa Israel ni tishio kuu kwa amani na usalama wa dunia.
-
Iran: Kona zote za Israel zinaweza kufikiwa na makombora yetu
Mar 09, 2016 04:22Meja Jenerali Mohammad Ali Jafari, Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC, amesema maeneo yote ya ardhi za Wapalestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel yanaweza kufikiwa na makombora ya Jamhuri ya Kiislamu.