Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Israel yaililia Russia iwe mpatanishi kati yake na Hizbullah

    Israel yaililia Russia iwe mpatanishi kati yake na Hizbullah

    Nov 02, 2024 07:44

    Israel sasa inaiasa Russia eti ishiriki katika 'juhudi za amani' zinazolenga kumaliza mzozo kati ya utawala huo wa Kizayuni na Harakati ya Hizbullah ya Lebanon.

  • Kamanda wa IRGC: Israel itakabiliwa na jibu lisilofikirika

    Kamanda wa IRGC: Israel itakabiliwa na jibu lisilofikirika

    Nov 01, 2024 07:02

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) ameionya Israel kwamba, itapata jibu kali na zito kwa kitendo chake cha hivi karibuni cha uchokozi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu; jibu ambalo halifikiriki wala kutasawirika.

  • Hizbullah: Tumefanikiwa kuangamiza wanajeshi 95 wa Israel

    Hizbullah: Tumefanikiwa kuangamiza wanajeshi 95 wa Israel

    Nov 01, 2024 07:00

    Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imesema zaidi ya maafisa na wanajeshi 95 wa Israel wameuawa na wengine wasiopungua 900 wamejeruhiwa tangu utawala huo ghasibu uanzishe operesheni ya nchi kavu dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Ubunifu mpya wa kisheria wa Afrika Kusini katika kuwatetea Wapalestina

    Ubunifu mpya wa kisheria wa Afrika Kusini katika kuwatetea Wapalestina

    Oct 31, 2024 07:36

    Kuendelea mauaji ya halaiki dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza kumeifanya timu ya wanasheria wa Afrika Kusini kuwasilisha kesi inayokaribia kurasa 5,000 dhidi ya utawala katili wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ).

  • Iran: Tutajibu iwapo Israel itarusha hata mshale jangwani

    Iran: Tutajibu iwapo Israel itarusha hata mshale jangwani

    Oct 30, 2024 23:07

    Vyombo vya ulinzi vya Iran vimesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu itajibu mapigo ya uchokozi wowote wa Israel dhidi ya ardhi yake, hata kama hatua hiyo ni ndogo na isiyo na tija, kama kurusha mshale kuelekea kwenye jangwa moja la nchi hii.

  • Sheikh Qassem: Hizbullah itazima 'mpango mkubwa' wa Israel katika eneo

    Sheikh Qassem: Hizbullah itazima 'mpango mkubwa' wa Israel katika eneo

    Oct 30, 2024 23:07

    Katibu Mkuu mpya wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon amesema kundi hilo la mapambano ya Kiislamu litaendelea kupambana kwa shabaha ya kusambaratisha njama za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya eneo zima la Asia Magharibi.

  • Malalamiko ya wajumbe wa Baraza la Usalama dhidi ya ushirikiano wa Marekani na utawala wa Kizayuni

    Malalamiko ya wajumbe wa Baraza la Usalama dhidi ya ushirikiano wa Marekani na utawala wa Kizayuni

    Oct 30, 2024 06:35

    Katika kikao cha dharura cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilichofanyika karibuni kwa ajili ya kijadili suala la hujuma ya anga ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, nchi nyingi zikiwemo Algeria, China, Russia, Iraq na Syria zimelaani vikali kitendo hicho cha uchokozi na kutaka uchokozi huo ukomeshwe mara moja.

  • Iran: Tuna haki halali ya kujilinda na kujihami

    Iran: Tuna haki halali ya kujilinda na kujihami

    Oct 30, 2024 00:00

    Msemaji wa serikali ya Iran, Fatemeh Mohajerani amesema Jamhuri ya Kiislamu ina haki ya kujilinda na kusisitiza kuwa, nchi hii itatekeleza haki hiyo "halali" kwa "wakati na mahali mwafaka."

  • Israel yauwa raia wasiopungua 93 katika hujuma ya umwagaji damu huko Bait Lahia

    Israel yauwa raia wasiopungua 93 katika hujuma ya umwagaji damu huko Bait Lahia

    Oct 29, 2024 08:49

    Ndege za kivita za Israel zimeshambulia kwa mabomu jengo la makazi ya raia linalowahifadhi Wapalestina waliolazimika kuhama makazi yao kaskazini mwa Ukanda wa Gaza na kuua makumi ya watu na kujeruhi wengine wengi.

  • Kushiriki Marekani kwa 70% katika jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel

    Kushiriki Marekani kwa 70% katika jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel

    Oct 29, 2024 04:20

    Takwimu rasmi za makadirio zilizochapishwa zinaonyesha kuwa, Marekani imetoa zaidi ya dola bilioni 22 za silaha na misaada ya kijeshi kwa utawala wa Kizayuni wa Israel katika kipindi cha mwaka mmoja tu uliopita.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS