Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Rais wa Brazil afananisha jinai za Israel na zile za Hitler wa Ujerumani

    Rais wa Brazil afananisha jinai za Israel na zile za Hitler wa Ujerumani

    Feb 21, 2024 23:09

    Jinai zinazofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina huko Gaza zinahesabiwa kuwa kubwa zaidi kuwahi kushuhudiwa katika miongo ya karibuni na aghalabu ya jinai hizo zimetajwa kuwa ni maangamizi ya kizazi huku zikilinganishwa na uhalifu ulizofanywa na Adolf Hitler, kiongozi Manazi wa Ujerumani, katika Vita vya Pili vya Dunia.

  • Afrika Kusini yaiasa ICJ iseme ukaliaji wa ardhi za Palestina ni kinyume cha sheria

    Afrika Kusini yaiasa ICJ iseme ukaliaji wa ardhi za Palestina ni kinyume cha sheria

    Feb 20, 2024 09:24

    Afrika Kusini imeiomba Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) itoe ushauri wa kisheria unaosema kuwa hatua ya Israel ya kukalia kwa mabavu ardhi za Palestina ni kinyume cha sheria.

  • Brazil yamuita nyumbani balozi wake wa Israel, mzozo watokota

    Brazil yamuita nyumbani balozi wake wa Israel, mzozo watokota

    Feb 20, 2024 09:22

    Serikali ya Brazil imemrejesha nyumbani balozi wake wa Israel, huku mzozo wa kidiplomasia ukiendelea kutokota baina ya nchi hiyo ya Amerika ya Latini na Tel Aviv.

  • Iran: Kuipatia Israel dola bilioni 14 ni sawa na Marekani kutoa bakhshishi kwa mauaji ya Wapalestina

    Iran: Kuipatia Israel dola bilioni 14 ni sawa na Marekani kutoa bakhshishi kwa mauaji ya Wapalestina

    Feb 19, 2024 07:45

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, kuidhinishwa na Baraza la Seneti la Marekani msaada wa dola bilioni 14 kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kunaonyesha kuwa Washington inautuza na kuupa bakhshishi utawala huo kwa kuwaua kwa halaiki raia wasio na hatia wa Palestina katika vita visivyo na mlingano vya Gaza.

  • ICJ yaanza kusikiliza shauri la kihistoria kuhusu uhalali wa Israel kukalia ardhi za Palestina kwa miaka 57

    ICJ yaanza kusikiliza shauri la kihistoria kuhusu uhalali wa Israel kukalia ardhi za Palestina kwa miaka 57

    Feb 19, 2024 07:40

    Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ, ambayo ndiyo mahakama ya juu zaidi ya Umoja wa Mataifa leo imeanza kusikiliza shauri la kihistoria la kuamua kuhusu uhalali wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wa kuzivamia na kuzikalia kwa mabavu ardhi za Palestina kwa muda wa miaka 57.

  • Anadolu yataja orodha ya silaha zilizofanyiwa majaribio na Israel katika vita vya Gaza

    Anadolu yataja orodha ya silaha zilizofanyiwa majaribio na Israel katika vita vya Gaza

    Feb 18, 2024 23:37

    Shirika la habari la Anadolu la Uturuki limeripoti kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel ambao unakabiliwa na kesi ya mashtaka ya mauaji ya halaiki katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ huko Hague Uholanzi umezifanyia majaribio silaha nyingi kwa mara ya kwanza katika mashambulizi yake ya kikatili dhidi ya Gaza tangu Oktoba 7 mwaka jana.

  • Mashirika yaitaka AU isiipe Israel uanachama kwenye umoja huo

    Mashirika yaitaka AU isiipe Israel uanachama kwenye umoja huo

    Feb 17, 2024 08:55

    Kundi moja la asasi za kiraia limeutaka Umoja wa Afrika utupilie mbali ombi la utawala wa Kizayuni wa Israel la kuwa mwanachama mtazamaji wa AU, na kufufua mjadala uliodumu kwa miaka miwili kuhusu kadhia hiyo.

  • Marekani kuitumia Israel mamia ya mabomu aina ya MK-82

    Marekani kuitumia Israel mamia ya mabomu aina ya MK-82

    Feb 17, 2024 08:04

    Serikali ya Rais Joe Biden wa Marekani inapanga kutuma shehena za mabomu na silaha nyingine zenye thamani ya makumi ya mamilioni ya dola kwa utawala wa Kizayuni wa Israel unaoendelea kumwaga damu za Wapalestina wasio na hatia katika Ukanda wa Gaza.

  • Iran yatoa mwito wa kufanyika kikao cha dharura cha OIC kujadili mashambulio ya Israel Rafah

    Iran yatoa mwito wa kufanyika kikao cha dharura cha OIC kujadili mashambulio ya Israel Rafah

    Feb 16, 2024 04:27

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa wito wa kuitishwa kikao cha dharura cha Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kutokana na hali mbaya ya kibinadamu inayoshuhudiwa katika Ukanda wa Ghazza hususan kwenye mji wa Rafah ambao unakabiliwa na hatari kubwa ya uvamizi unaokaribia kufanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Asilimia 75 ya wanahabari waliouliwa 2023 wameuawa katika vita vya Israel dhidi ya Ghazza

    Asilimia 75 ya wanahabari waliouliwa 2023 wameuawa katika vita vya Israel dhidi ya Ghazza

    Feb 16, 2024 04:20

    Kamati ya Kulinda Wanahabari CPJ imetangaza kuwa, waandishi wa habari 72 kati ya 99 waliouawa duniani kote mwaka 2023 walikuwa Wapalestina walioripoti vita vya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ghazza, na kuifanya miezi hiyo 12 kuwa mibaya zaidi kwa vyombo vya habari katika kipindi cha karibu muongo mmoja sasa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS