-
Kushadidi mashinikizo dhidi ya waungaji mkono wa Palestina nchini Marekani
Dec 12, 2023 23:09Marekani ikiwa ni muungaji mkono mkuu wa utawala wa Kizayuni sio tu kwamba, imetoa uungaji mkono mkubwa wa kisiasa na kisilaha kwa utawala huo wakati wa vita vya Gaza, bali mfumo tawala wa Washington pia umeongeza mashinikizo dhidi ya waungaji mkono wa Wapalestina na wakosoaji wa jinai za utawala ghasibu wa Israel.
-
Uchunguzi wa maoni: Wamarekani wengi wanapinga sera ya Biden kuhusu vita vya Gaza
Dec 11, 2023 23:29Uchunguzi wa maoni uliofanywa na televisheni ya Marekani ya CBS News umeonyesha kuwa asilimia kubwa ya Wamarekani wanapinga jinsi Rais Joe Biden anavyoshughulikia vita vya Israel dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza.
-
Uhalalishaji Marekani kura yake ya turufu kuhusu mauaji ya kimbari ya Wazayuni huko Gaza
Dec 11, 2023 23:09Licha ya matakwa ya kimataifa ya kusitishwa mara moja vita vya mauaji ya kimbari ya Wazayuni dhidi ya watu wa Gaza, lakini Marekani ikiwa ni mshirika wa kistratijia wa utawala wa Kizayuni, imepinga maombi hayo na inaendelea kuwasha moto wa vita hivyo vya umwagaji damu kwa kutuma silaha za kila aina huko Gaza.
-
Msimamo imara wa wananchi na vyama vya Uturuki kuhusu uhusiano na Israeli na uwepo wa Marekani huko Incirlik
Dec 11, 2023 07:30Kufuatia kuendelea jinai za utawala ghasibu wa Israel dhidi ya raia wa Gaza na uungaji mkono mkubwa wa Marekani kwa jinai hizo, wananchi wa Uturuki wamefanya maandamano mjini Istanbul na kutoa matakwa mapya kwa serikali ya Rais Recep Tayyip Erdogan.
-
HAMAS: Hatutawaachia mateka wa Israel mpaka matakwa yetu yatakapotekelezwa
Dec 11, 2023 00:18Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema, kamwe haitasalimu amri kwa mashambulizi ya kinyama ya mtawalia yanayofanywa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Gaza ili iwaachilie mateka wa utawala huo iliowakamata katika operesheni yake ya Kimbunga cha Al-Aqsa iliyotekeleza mapema mwezi Oktoba.
-
Ripoti: Israel imeua makumi ya wanariadha wa Palestina tangu Oktoba 7
Dec 09, 2023 23:25Israel imeua shahidi makumi ya wanariadha na wamamichezo wa Palestina tangu utawala huo wa Kizayuni uanzishe mashambulizi ya kutisha dhidi ya Ukanda wa Gaza mnamo Oktoba 7.
-
HAMAS yalaani kitendo cha askari wa Israel cha kuwakashifu Wapalestina kwa kuwavua nguo hadharani
Dec 09, 2023 02:49Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani kitendo cha wanajeshi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel cha kuwalazimisha kuvua nguo Wapalestina wapatao 100 waliowakamata; na kuwakashifu kwa kuwaweka hadharani katika barabara za Ukanda wa Gaza wakiwa wamebaki na nguo za ndani tu.
-
HRW: Israel inapasa kuchunguzwa kuhusu uhalifu wa kivita kufuatia mauaji ya mwandishi wa habari Lebanon
Dec 07, 2023 12:01Mashirika ya kimataifa ya kutetea haki za binadamu yameeleza kuwa mashambulizi ya Israel yaliyouwa mwandishi wa habari na kujeruhi wengine sita huko kusini mwa Lebanon inawezekana yalikuwa mashambulizi ya moja kwa moja dhidi ya raia na ni lazima yachunguzwa kama jinai za kivita.
-
Israel yashambulia kwa mabomu shule 2 Gaza, 50 wauawa shahidi
Dec 05, 2023 03:24Vikosi vya utawala haramu wa Israel vimeshambulia kwa mabomu shule mbili katika Ukanda wa Gaza na kuua shahidi makumi ya Wapalestina.
-
Mashirika ya haki Palestina yaonya kuhusu 'Nakba ya Pili' Gaza
Dec 05, 2023 03:22Mashirika matatu ya kutetea haki za binadamu ya Palestina yameashiria hatua ya Israel ya kuwafukuza kwa umati Wapalestina katika Ukanda wa Gaza na kutahadharisha kuwa, utawala huo wa Kizayuni unapanga kukariri Nakba ya pili katika eneo hilo lililozingirwa.