Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Waislamu Marekani waapa

    Waislamu Marekani waapa "kumdampu" Biden katika uchaguzi wa 2024 kwa sababu ya uungaji mkono wake kwa mauaji ya Israel

    Dec 03, 2023 23:29

    Waislamu katika majimbo muhimu ya Marekani wamezindua kampeni ya #AbandonBiden kutokana na kukataa kwa rais huyo wa Merekani kutoa wito wa kusitishwa mashambulizi ya kinyama ya Israel huko Ukanda wa Gaza.

  • Askari 60 wa Kizayuni waangamizwa katika operesheni ya HAMAS

    Askari 60 wa Kizayuni waangamizwa katika operesheni ya HAMAS

    Dec 03, 2023 07:13

    Makumi ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wameangamizwa katika operesheni ya Brigedi za Izzuddin al Qassam, Tawi la Kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu HAMAS.

  • Wanigeria waandamana wakitaka kukatwa uhusiano na Israel

    Wanigeria waandamana wakitaka kukatwa uhusiano na Israel

    Dec 03, 2023 07:12

    Kwa mara nyingine tena, maelfu ya Waislamu na waungaji mkono wa Palestina katika mji wa Kano, kaskazini mwa Nigeria wameandamana na kulaani jinai za utawala haramu wa Israel dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina hasa wa Ukanda wa Gaza.

  • Mufti wa Yemen: Kimbunga cha al-Aqsa, kipigo cha karne dhidi ya Uzayuni

    Mufti wa Yemen: Kimbunga cha al-Aqsa, kipigo cha karne dhidi ya Uzayuni

    Dec 03, 2023 07:11

    Mufti Mkuu wa Yemen amesema Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa imedhihirisha msimamo thabiti na uwezo mkubwa wa mrengo wa muqawama wa Palestina, na kwamba operesheni hiyo kilikuwa kipigo cha karne dhidi ya utawala wa Kizayuni.

  • WSJ: Mashirika ya ujasusi ya Israel yamepanga kuwaua viongozi wa HAMAS popote pale duniani

    WSJ: Mashirika ya ujasusi ya Israel yamepanga kuwaua viongozi wa HAMAS popote pale duniani

    Dec 02, 2023 02:31

    Mashirika makuu ya ujasusi ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel yanaripotiwa kuwa yamedhamiria "kuwaua" viongozi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS duniani kote baada ya kumalizika vita vyake vya kikatili na kinyama unavyoendeleza dhidi ya Ukanda wa Gaza, ambavyo tayari vimeshaua Wapalestina wanaokaribia 16,000 hadi sasa.

  • Ripoti yafichua: Tangu 1950, Marekani imeipatia Israel zaidi ya silaha 70,000

    Ripoti yafichua: Tangu 1950, Marekani imeipatia Israel zaidi ya silaha 70,000

    Dec 01, 2023 06:57

    Ripoti mpya iliyotolewa hivi karibuni inaonyesha kuwa kati ya mwaka 1950 na 2022, Marekani imeupatia utawala haramu wa Kizayuni wa Israel zaidi ya silaha 70,000, zikiwemo ndege, magari ya ardhini, makombora na mabomu, kupitia msaada wa kijeshi.

  • Israel yaanza tena kumwaga damu za Wapalestina Gaza, makumi wauawa shahidi

    Israel yaanza tena kumwaga damu za Wapalestina Gaza, makumi wauawa shahidi

    Dec 01, 2023 04:25

    Miripuko kadhaa na milio ya risasi imesikika kaskazini mwa Ukanda wa Gaza baada ya utawala haramu wa Israel kuanzisha tena hujuma na mashambulizi yake ya kinyama dhidi ya Wapalestina wa eneo hilo linalokaliwa kwa mabavu, baada ya muda wa usitishaji vita kumalizika mapema leo.

  • IRGC: Israel itatoweka ndani ya saa 24 kwa Kimbunga kingine cha al-Aqsa

    IRGC: Israel itatoweka ndani ya saa 24 kwa Kimbunga kingine cha al-Aqsa

    Dec 01, 2023 03:47

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa ilibainisha wazi kuwa kuporomoka kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kuko karibu zaidi na ni sahali zaidi ya ilivyodhaniwa.

  • Rais wa Iran asusia mkutano wa COP28 Dubai kwa kushiriki Israel

    Rais wa Iran asusia mkutano wa COP28 Dubai kwa kushiriki Israel

    Dec 01, 2023 03:17

    Rais Ebrahim Raisi wa Iran hatashiriki mkutano wa 28 wa nchi wanachama wa Mkataba wa Mabadiliko ya Tabianchi, COP28, mjini Dubai kutokana na uwepo wa Rais Isaac Herzog na maafisa wengine wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye mkutano huo.

  • Washington Post: Chama tawala India kinatumia vita vya Israel dhidi ya Gaza kuwadhihirisha Waislamu kuwa ni mashetani

    Washington Post: Chama tawala India kinatumia vita vya Israel dhidi ya Gaza kuwadhihirisha Waislamu kuwa ni mashetani

    Nov 30, 2023 22:59

    Gazeti la Washington Post la Marekani limetahadharisha kuhusu mienendo ya chama tawala nchini India na jinsi kinavyotumia vibaya vita vya Israel dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza na kuwadhihirisha Waislamu kuwa ni 'mashetani'.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS