• Hizbullah: Israel 'itafutwa' ikiwafukuza Wapalestina Gaza

    Hizbullah: Israel 'itafutwa' ikiwafukuza Wapalestina Gaza

    Nov 16, 2023 02:58

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema utawala haramu wa Israel utasambaratishwa na kufutwa katika uso wa dunia iwapo utajaribu kuwafurusha wananchi wa Palestina wanaoshi katika Ukanda wa Gaza.

  • Iran: Marekani inaipa Israel silaha zilizopigwa marufuku kimataifa

    Iran: Marekani inaipa Israel silaha zilizopigwa marufuku kimataifa

    Nov 16, 2023 00:45

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameikosoa vikali Marekani kwa kuipa Israel silaha zilizoharamishwa kimataifa kama vile mabomu ya fosforasi ili utawala huo wa Kizayuni utumie silaha hizo dhidi ya wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.

  • Rais Erdogan wa Uturuki: Israel ni dola la kigaidi

    Rais Erdogan wa Uturuki: Israel ni dola la kigaidi

    Nov 16, 2023 00:45

    Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan amesema Israel ni 'dola la kigaidi' ambalo linafanya jinai za kivita na kukanyaga sheria za kimataifa katika Ukanda wa Gaza, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Kuongezeka kukosolewa uungaji mkono wa Magharibi kwa utawala wa Kizayuni

    Kuongezeka kukosolewa uungaji mkono wa Magharibi kwa utawala wa Kizayuni

    Nov 16, 2023 00:41

    Kuendelea jinai , mauaji ya kimbari na kutokomezwa kizazi cha wananchi wa Gaza na utawala wa Kizayuni ambazo zimesababisha maelfu ya Wapalestina kuuawa shahidi na kujeruhiwa, kumepelekea kushtadi kukosolewa siasa za upendeleo za serikali za Magharibi kwa Israel.

  • Upinzani wa Wamagharibi kwa usitishaji vita Gaza

    Upinzani wa Wamagharibi kwa usitishaji vita Gaza

    Nov 14, 2023 05:53

    Licha ya kupita karibu siku 40 tangu ilipotokea operesheni ya kimbunga ya Al-Aqswa na radiamali ya utawala wa Kizayuni kwa operesheni hiyo kwa kushambulia kwa mabomu Ukanda wa Gaza na kuuawa maelfu ya Wapalestina na uharibifu mkubwa wa eneo hilo, lakini baadhi ya madola ya Magharibi yakifungamana na Waziri Mkuu wa utawala huu, Benjamin Netanyahu, bado yangali yanapinga usitishaji wa vita hivi vya umwagaji damu.

  • "Mauaji ya halaiki ya watu wa Gaza yanakanyaga sheria za kimataifa"

    Nov 13, 2023 23:34

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran sajari na kulaani mauaji ya halaiki ya wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza amesisitiza kuwa, jinai zinazofanywa na Wazayuni katika eneo hilo lililozingira ni ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa.

  • Mabilionea wa Marekani kuendesha kampeni ya vyombo vya habari ili kuisafisha Israel na kuichafua HAMAS

    Mabilionea wa Marekani kuendesha kampeni ya vyombo vya habari ili kuisafisha Israel na kuichafua HAMAS

    Nov 13, 2023 22:55

    Bilionea mmoja mfanyabiashara nchini Marekani ameanzisha kampeni ya kuchangisha mamilioni ya dola ili kuvitumia vyombo vya habari visafishe sura chafu ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel sambamba na kuchafua haiba ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS, wakati maandamano ya kuunga mkono Palestina dhidi ya Israel yaknazidi kupamba moto ulimwenguni kote.

  • Kuadhibiwa waungaji mkono wa Palestina katika vyuo vikuu vya Marekani

    Kuadhibiwa waungaji mkono wa Palestina katika vyuo vikuu vya Marekani

    Nov 12, 2023 23:17

    Licha ya madai ya kuheshimiwa uhuru wa kujieleza katika nchi za Magharibi ikiwemo Marekani, lakini ukweli wa mambo ni kwamba kuna mistari miekundu katika uwanja huo, likiwemo suala la kutetea kadhia ya Palestina, ambapo waungaji mkono wa taifa hilo linalodhulumiwa hukabiliwa na vikwazo vya aina mbalimbali vikiwemo vya kuadhibiwa na kufungwa jela.

  • Hizbullah yasema imetumia makombora mapya ya Burkan katika vita na Israel

    Hizbullah yasema imetumia makombora mapya ya Burkan katika vita na Israel

    Nov 12, 2023 03:29

    Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema wapiganaji wa harakati hiyo ya Muqawama wa Kiislamu wameanza kutumia silaha mpya, likiwemo kombora lenye kichwa kizito katika mapigano yanayoendelea mpakani mwa Lebanon na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel), na kuongeza kuwa wataendelea kutumia mpaka huo wenye mvutano kuishinikiza Israel.

  • Kuongezeka hasira za kimataifa kuhusu jinai za utawala wa Kizayuni huko Gaza

    Kuongezeka hasira za kimataifa kuhusu jinai za utawala wa Kizayuni huko Gaza

    Nov 11, 2023 23:37

    Sambamba na kuendelea vitendo vya jinai vya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza, ambavyo hadi sasa vimepelekea kuuawa shahidi zaidi ya Wapalestina elfu 11 na kujeruhiwa wengine zaidi ya elfu 27, hasira na ukosoaji wa kimataifa unaendelea kuongezeka kwa kadiri kwamba mbali na maandamano makubwa yanayofanyika katika pambe tofauti za dunia, baadhi ya wanasiasa wa Magharib pia wanaukosoa utawala huo kutokana na ukatili wake wa kutisha dhidi ya Wapalestina wasio na hatia.