Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Polisi ya Israel yatumia risasi hai dhidi ya waandamanaji wa Eritrea, Tel Aviv

    Polisi ya Israel yatumia risasi hai dhidi ya waandamanaji wa Eritrea, Tel Aviv

    Sep 03, 2023 03:57

    Watu wasiopungua 150 wamejeruhiwa baada ya vikosi vya usalama vya utawala haramu wa Israel kutumia risasi hai na mabomu ya kutoa machozi kuyatawanya makundi mawili hasimu ya raia wa Eritrea mjini Tel Aviv.

  • Haniya: Israel inabeba dhima ya mauaji katika jamii ya Waarabu

    Haniya: Israel inabeba dhima ya mauaji katika jamii ya Waarabu

    Sep 03, 2023 03:53

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema utawala haramu wa Israel unabeba dhima ya mauaji ya kiholela katika jamii ya Waarabu katika ardhi za Wapalestina zinazokaliwa kwa mabavu.

  • Kupinga Waziri Mkuu wa Libya kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Kupinga Waziri Mkuu wa Libya kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Sep 02, 2023 07:15

    Baada ya maandamano makubwa ya wananchi wa Libya ya kulaaniwa kukutana na kufanya mazungumzo Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa nchi hiyo na mwenzake wa utawala wa Kizayuni, kwa mara nyingine tena Waziri Mkuu wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya, Abdel-Hamid al-Dbeibeh, alisisitiza siku ya Alkhamisi juu ya uungaji mkono wa nchi hiyo kwa kwa malengo matukufu ya Palestina na mapambano ya Palestina dhidi ya ya utawala haramu wa Israel.

  • Jenerali Mzayuni: Jeshi la Israel yumkini litaporomoka katika vita vijavyo

    Jenerali Mzayuni: Jeshi la Israel yumkini litaporomoka katika vita vijavyo

    Aug 31, 2023 23:35

    Meja Jenerali mstaafu wa Israel ameonya juu ya uwezekano wa kuangamia jeshi la utawala huo haramu iwapo litajitosa katika vita vipya.

  • Ripoti: Saudia inairubuni Palestina kwa fedha ili ikubali uhusiano na Israel

    Ripoti: Saudia inairubuni Palestina kwa fedha ili ikubali uhusiano na Israel

    Aug 30, 2023 04:44

    Maafisa wa Saudi Arabia wameripotiwa wakisema kuwa, Riyadh ipo tayari kuanza tena kuipa Mamlaka ya Ndani ya Palestina msaada wa kifedha, mkabala wa kupata uungaji mkono wa Ramallah katika juhudi zake za kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.

  • Rais wa Tunisia apinga kuanzishwa uhusiano na Israel

    Rais wa Tunisia apinga kuanzishwa uhusiano na Israel

    Aug 30, 2023 01:10

    Rais Kais Saied wa Tunisia amekanusha vikali madai kuwa taifa hilo lina azma ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.

  • Amnesty yalaani uamuzi wa Israel kwa kumuadhibu mtoto wa Kipalestina kwa kitendo ambacho hakufanya

    Amnesty yalaani uamuzi wa Israel kwa kumuadhibu mtoto wa Kipalestina kwa kitendo ambacho hakufanya

    Aug 29, 2023 22:57

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limelaani uamuzi wa mahakama ya Israel wa kubomoa nyumba ya familia ya mvulana Mpalestina mwenye umri wa miaka 13 ambaye amekuwa kizuizini kwa muda wa miezi sita iliyopita kwa "mashtaka yasiyo ya haki" kwa kitendo ambacho hakukifanya.

  • Walibya: Serikali ya Dbeibah itimuliwe kwa kuvuka mistari myekundu

    Walibya: Serikali ya Dbeibah itimuliwe kwa kuvuka mistari myekundu

    Aug 29, 2023 08:19

    Viongozi na wanasiasa mashuhuri wa Libya wametoa mwito wa kuondolewa mamlakani serikali nzima ya Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Abdul Hamid Dbeibah, baada ya kufichuka habari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo kuonana kwa siri na waziri wa mambo ya nje wa utawala wa Kizayuni, Eli Cohen nchini Italia.

  • Hizbullah: Utawala wa Kizayuni lazima ufutwe katika eneo

    Hizbullah: Utawala wa Kizayuni lazima ufutwe katika eneo

    Aug 23, 2023 06:50

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameashiria hatari ya utawala wa Kizayuni kwa jamii ya mwanadamu na kusisitiza kuwa, utawala huo haramu unapaswa kufutwa katika uso wa eneo la Asia Magharibi.

  • Algeria: Hatutaanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa kikoloni wa Israel

    Algeria: Hatutaanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa kikoloni wa Israel

    Aug 16, 2023 23:44

    Naibu Spika wa Bunge la Algeria amesisitiza kuwa, taifa hilo la kaskazini mwa Afrika halitafuata mkumbo wa nchi nyingine za Kiarabu wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel, akisisitiza kuwa Waalgeria wanautazama utawala huo kuwa wa kikoloni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS