-
Algeria: Hatutaanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa kikoloni wa Israel
Aug 16, 2023 23:44Naibu Spika wa Bunge la Algeria amesisitiza kuwa, taifa hilo la kaskazini mwa Afrika halitafuata mkumbo wa nchi nyingine za Kiarabu wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel, akisisitiza kuwa Waalgeria wanautazama utawala huo kuwa wa kikoloni.
-
Nasrullah: Tutairejesha Israel 'enzi za jiwe' ikiingia vitani na Lebanon
Aug 15, 2023 04:06Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameionya vikali Israel na kusisitiza kuwa, utawala huo wa Kizayuni utarejeshwa nyuma mamilioni ya miaka hadi enzi za jiwe, iwapo utaingia katika vita vipya na Lebanon.
-
Upinzani Bahrain wapinga kuajiriwa madaktari wa Israel
Aug 08, 2023 03:52Mrengo mkubwa zaidi wa upinzani Bahrain umekosoa vikali azma ya utawala wa Aal-Khalifa ya kuwaajiri madaktari wa utawala haramu wa Israel katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Walowezi wa Kizayuni waliwashambulia Wapalestina mara 900 Julai
Aug 06, 2023 04:21Kamisheni ya mapambano ya Palestina imesema katika ripoti yake mpya kuwa, vikosi vya utawala haramu wa Israel pamoja na walowezi wa Kizayuni waliwashambulia Wapalestina na maeneo yao matakatifu karibu mara 900 mwezi uliopita wa Julai.
-
Jenerali wa Israel akiri; Nasrullah si mtu wa kupuuzwa
Aug 01, 2023 22:49Aliyekuwa Mkuu wa Kitengo cha Operesheni cha jeshi la utawala haramu wa Israel amesema Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ni shakhsia ambaye hapaswi kupuuzwa.
-
Biden: Kuna uwezekano wa Saudia na Israel kuanzisha rasmi uhusiano wao
Jul 29, 2023 07:12Rais wa Marekani, Joe Biden kwa mara nyingine tena amedokeza kuwa kuna uwezekano mkubwa kwa Saudi Arabia kuanzisha rasmi uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Iran: Israel ikomeshe ukaliaji ardhi za Wapalestina kwa mabavu
Jul 28, 2023 08:40Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amelaani jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina na kusisitiza kuwa, mgogoro wa Palestina unaweza kupatiwa ufumbuzi tu kupitia kuhitimishwa ukaliaji wa mabavu wa ardhi za Wapalestina unaofanywa na Wazayuni maghasibu.
-
Iran: Mkono wa Israel unaonekana kwenye vitendo vya kuivunjia heshima Qur'ani
Jul 25, 2023 23:40Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameashiria kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi za Ulaya Magharibi za Sweden na Denmark na kusema kuwa, alama za vidole za utawala haramu wa Israel zinaonekana wazi kwenye vitendo hivyo viovu.
-
Ripoti: Israel imeua Wapalestina 200 na kukamata watoto 570, 2023
Jul 24, 2023 07:31Vikosi vya usalama vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimewaua shahidi mamia ya Wapalestina kuanzia mwanzoni mwa mwaka huu 2023 hadi sasa.
-
Algeria yaijia juu Israel kwa kutambua mamlaka ya Morocco Sahara Magharibi
Jul 21, 2023 04:15Algeria imekosoa vikali uamuzi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wa kutambua mamlaka ya Morocco katika eneo linalozozaniwa la Sahara Magharibi.