-
Russia yaomba kibali cha UN ili kutuma silaha Jamhuri ya Afrika ya Kati
Dec 13, 2017 04:35Russia imeripotiwa kuomba kibali kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ili kuiruhusu kusafirisha silaha nyepesi na zana za kijeshi kwa vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Hasira za watu wa Bangui baada ya gari la MINUSCA kumuua mwanafunzi
Nov 25, 2017 04:34Wananchi katika mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Bangui wamebainisha ghadhabu zao baada ya mwanafunzi wa shule kupoteza maisha katika ajali iliyohusisha gari la askari wa Mpango wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati MINUSCA.
-
UN yaanza uchunguzi wa madai ya kufeli askari wa kimataifa huko CAR
Nov 15, 2017 00:21Umoja wa Mataifa umenzisha uchunguzi juu ya madai ya kufeli kwa kikosi cha askari wa kimataifa wa kulinda amani katika Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR).
-
Watu 7 wauawa na 20 wajeruhiwa Jamhburi ya Afrika ya Kati
Nov 13, 2017 11:52Habari kutoka Bangui, mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) zinasema kuwa watu saba wameuawa na wengine 20 kujeruhiwa baada ya kutokea shambulizi la guruneti katika eneo la starehe na katika machafuko ya ulipizaji kisasi siku mbili mfululizo mjini humo.
-
Watu wawili wauawa na 10 kujeruhiwa katika machafuko CAR
Oct 31, 2017 03:16Mapigano kati ya makundi yenye silaha katika mji wa Batangafo kaskazini mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati yamesababisha vifo vya watu wasiopungua wawili na kujeruhi wengine kumi.
-
Umoja wa Mataifa waitaka jamii ya kimataifa kufanya juhudi za kurejesha amani CAR
Oct 27, 2017 11:57Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameitaka jamii ya kimataifa kufanya juhudi za kurejesha amani na utulivu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa asisitiza kutumwa askari zaidi CAR
Oct 18, 2017 11:39Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametaka kutumwa askari 900 wa kofia buluu wa umoja huo kwa ajili ya kusimamia amani Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Wimbi jipya la machafuko laikumba Jamhuri ya Afrika ya Kati
Oct 18, 2017 04:31Kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (MINUSCA) kimetoa ripoti kuhusu kuanza wimbi jipya la machafuko nchini humo na kuuliwa raia zaidi ya 130 katika kipindi cha miezi minne katika maeneo mawili nchini humo.
-
UN yatahadharisha kuhusu hatari ya kutokea mauaji ya kimbari CAR
Oct 13, 2017 00:17Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusiana na hatari ya kutokea mauaji ya kimbari katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
HRW: Ubakaji unatumika kama silaha ya vita Jamhuri ya Afrika ya Kati
Oct 05, 2017 10:26Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema ubakaji na dhulma za kijinsia zinatumiwa kama mbinu ya vita na magenge ya waasi wanaobeba silaha katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.