-
UN yataka kuongezwa askari wa kulinda amani Jamhuri ya Afrika ya Kati
Sep 17, 2017 03:10Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati kimetoa mwito wa kutumwa katika nchi hiyo mamia ya askari zaidi ili kujaza pengo lililoachwa baada ya Uganda kuwaondoa wanajeshi wake nchini humo.
-
Sauti, zaidi ya watu 30 wameuawa katika mji wa Zemio unaotajwa kuwa ulio baki nyuma zaidi kimaendeleo nchini CAR
Aug 20, 2017 11:59Zaidi ya watu 30 wameuawa na watu wanaodhaniwa kuwa ni muungano wa waasi wa Seleka na baadhi ya Anti-Balaka katika mji wa Zemio, ulioko kusini mashariki mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Papa alaani mashambulizi dhidi ya watu wasio na hatia huko Nigeria na Jamhuri ya Afrika ya Kati
Aug 09, 2017 12:39Kiongozi wa Kanisa Katoliki Dunia amelaani mashambulizi yanayofanywa dhidi ya raia wasio na hatia huko Nigeria na Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
UN: Watu 34 wameuawa katika machafuko ya karibuni Jamhuri ya Afrika ya Kati
Aug 08, 2017 22:09Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa watu wasiopungua 34 wameuawa katika mapigano ya karibuni nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Umoja wa Mataifa waonya kuhusu dalili za mauaji ya kimbari CAR
Aug 08, 2017 03:18Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa, kuna uwezekano mkubwa wa kutokea mauji ya kimbari huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
SAUTI, Magaidi wa Kikristo wa Anti-Balaka wanaendelea kuwazingira Waislamu ndani ya kanisa nchini CAR
Jul 28, 2017 11:30Magaidi wa kundi la Kikristo la Anti-Balaka wameendelea kuwazingira Waislamu wapatao 2000 waliokimbilia katika kanisa moj la mji wa Bangassou, yapata kilomita 700 mashariki mwa mji mkuu Bangui tangu tarehe 20 ya mwezi huu.
-
UN: Tuna wasiwasi CAR itatumbukia tena katika machafuko makubwa
Jul 27, 2017 10:45Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuwa, yumkini Jamhuri ya Afrika ya Kati ikajikuta imetumbukia tena katika mgogoro mpana na machafuko makubwa ambayo yatavuruga jitihada za kurejesha amani na uthabiti katika nchi hiyo.
-
Magaidi wa Kikristo waua askari wa kulinda amani wa UN, CAR
Jul 26, 2017 03:22Kundi la kigaidi la Kikristo la Anti-Balaka limeua askari wawili wa Kikosi cha Kusimamia Amani cha Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati MINUSCA.
-
HRW: yalaani jinai za kivita za makundi yenye silaha CAR
Jul 05, 2017 23:37Jumuiya ya kutetea haki za binadamu ya Human Rights Watch (HRW) imetangaza kuwa, makundi ya wabeba silaha yamefanya jinai za kivita katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Tahadhari ya UNCHR kuhusu kuibuka upya mapigano CAR
Jun 30, 2017 22:55Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia wakimbizi UNHCR limebainisha hofu yake kuhusu kuzuka upya mapigano katika baadhi ya sehemu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati.