Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Afrika ya Kati

  • Askari wa Umoja wa Mataifa washindwa kurejesha amani CAR

    Askari wa Umoja wa Mataifa washindwa kurejesha amani CAR

    Jun 22, 2017 03:49

    Licha ya kupita miaka minne tokea kutumwa askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa huko katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, lakini bado nchi hiyo inashuhudia machafuko ambayo yamepelekea mamia ya watu kuuawa.

  • Wakimbizi wa Kiislamu Afrika ya Kati wana hali mbaya ya kibinaadamu

    Wakimbizi wa Kiislamu Afrika ya Kati wana hali mbaya ya kibinaadamu

    Jun 20, 2017 22:14

    Habari kutoka Jamhuri ya Afrika ya Kati zinaarifu kwamba, jumla ya wakimbizi 1500 wa Kiislamu waliolazimika kuyahama makazi yao kutokana na mapigano yanayoendelea nchini humo, wanakabiliwa na hali mbaya ya kibinaadamu eneo la Bangassou nchini humo.

  • Maelfu ya raia wa CAR wakimbilia mkoa wa Equator Kongo DR

    Maelfu ya raia wa CAR wakimbilia mkoa wa Equator Kongo DR

    Jun 16, 2017 10:56

    Habari kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zinaarifu kuwa, tangu mwezi Mei mwaka huu, hadi hivi sasa zaidi ya wakimbizi elfu 30 kutoka Jamhuri ya Afrika ya Kati, wameingia katika mkoa wa Equator wa kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.

  • Umoja wa Mataifa waelezea wasiwasi wake wa kuenea machafuko katika Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Umoja wa Mataifa waelezea wasiwasi wake wa kuenea machafuko katika Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Jun 10, 2017 03:08

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameelezea wasiwasi ulionao umoja huo wa kuenea zaidi machafuko katika Jamhuri ya Afrika ya Kati huku kukiwa na taarifa kwamba, raia wa nchi hiyo wameendelea kuyakimbia makazi yao.

  • Wanajeshi wa Congo Brazzaville watishiwa kufukuzwa CAR

    Wanajeshi wa Congo Brazzaville watishiwa kufukuzwa CAR

    Jun 06, 2017 23:42

    Kamanda wa kikosi cha Umoja wa Mataifa kinacholinda amani Jamhuri ya Afrika ya Kati ametishia kuwafukuza wanajeshi wa Congo Brazzaville wanaolinda amani nchini humo kutokana na utovu wa nidhamu.

  • CAR kukumbwa na mgogoro wa kiuchumi kwa kuondoka wanajeshi wa Uganda

    CAR kukumbwa na mgogoro wa kiuchumi kwa kuondoka wanajeshi wa Uganda

    May 24, 2017 23:57

    Eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati litakumbwa na mgogoro wa kiuchumi baada ya wanajeshi wa Uganda kuondoka katika eneo hilo. Wanajeshi hao wa UPDF walikuwa wametumwa nchini humo kupambana na waasi wa Kikristo wa LRA.

  • ICC: Mauaji ya kutisha CAR lazima yakomeshwe

    ICC: Mauaji ya kutisha CAR lazima yakomeshwe

    May 24, 2017 03:22

    Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC amelaani vikali mauaji ya kutisha yanayofanyika Jamhuri ya Afrika ya Kati huku ikitaka mapigano mapya yanayoendelea katika mji wa Bangassou, karibu na mpaka wa nchi hiyo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yasitishwe mara moja.

  • AU yataka msaada wa kimataifa kukabiliana na waasi wa Kikristo wa LRA

    AU yataka msaada wa kimataifa kukabiliana na waasi wa Kikristo wa LRA

    May 20, 2017 23:03

    Umoja wa Afrika umetoa wito wa msaada wa kijeshi wa kimataifa kukabiliana na waasi wa Kikrsito wa LRA kutoka Uganda walio katika misitu ya Jamhuri ya Afrika ya Kati wakiongozwa na Joseph Kony.

  • UN yalaani kudharauliwa mauaji ya Waislamu wa CAR

    UN yalaani kudharauliwa mauaji ya Waislamu wa CAR

    May 20, 2017 08:15

    Umoja wa Mataifa umelaani kitendo cha vyombo vya habari duniani cha kudharau kuakisi habari yza mashambulizi na mauaji ya makumi ya Waislamu huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.

  • Mapigano yaendelea CAR, watano wauawa na makumi wajeruhiwa

    Mapigano yaendelea CAR, watano wauawa na makumi wajeruhiwa

    May 18, 2017 02:51

    Mapigano yameendelea kushuhudiwa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati ambapo watu wasiopungua watano wanaripotiwa kuuawa na makumi ya wengine wamejeruhiwa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS