-
UN yalaani kudharauliwa mauaji ya Waislamu wa CAR
May 20, 2017 08:15Umoja wa Mataifa umelaani kitendo cha vyombo vya habari duniani cha kudharau kuakisi habari yza mashambulizi na mauaji ya makumi ya Waislamu huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Mapigano yaendelea CAR, watano wauawa na makumi wajeruhiwa
May 18, 2017 02:51Mapigano yameendelea kushuhudiwa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati ambapo watu wasiopungua watano wanaripotiwa kuuawa na makumi ya wengine wamejeruhiwa.
-
Msalaba Mwekundu: Waliouawa CAR ni zaidi ya watu 115
May 17, 2017 09:15Wafanyakazi wa Shirika la Msalaba Mwekundu wamegundua miili 115 katika mji wa Bangassou, huko Jamhuri ya Afrika ya Kati, siku chache baada ya genge la waasi wa Kikristo la Anti-Balaka kuvamia mji huo.
-
OIC yalaani mauaji ya Waislamu Jamhuri ya Afrika ya Kati
May 16, 2017 23:03Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imelaani vikali mauaji ya Waislamu huko Jamhuri ya Afrika ya Kati ambayo yametekelezwa na magaidi wa kundi la Kikristo la Anti-Balaka.
-
Anti Balaka imeua raia 30 Jamhuri ya Afrika ya Kati, mamia wajificha msikitini
May 15, 2017 03:07Umoja wa Mataifa umesema yumkini raia zaidi ya 30 wameuawa na kundi la waasi wa Kikristo la Anti-Balaka katika mapigano yanayoendelea hivi sasa huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Askari 4 wa kulinda amani wa UN wauawa Jamhuri ya Afrika ya Kati
May 10, 2017 02:51Askari 12 wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa MINUSCA wameuawa na kujeruhiwa baada ya msafara wa magari yao kutekwa nyara na kushambuliwa na genge la waasi huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
UNICEF yatahadharisha kuhusiana na kuzidi kuwa mbaya hali ya watoto katika Jamhuri ya Afrika ya Kati
May 05, 2017 23:39Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umetoa indhari na onyo kuhusiana na kuzidi kuwa mbaya hali ya watoto na kubakia bila makazi raia katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Raia 45 wauawa katika mapigano Jamhuri ya Afrika ya Kati
May 02, 2017 12:09Magenge ya waasi wanaobeba silaha katika Jamhuri ya Afrika ya Kati yameua makumi ya raia nchini humo katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.
-
Uganda yaanza kuondoa vikosi vyake Jamhuri ya Afrika ya Kati
Apr 19, 2017 10:44Jeshi la Ulinzi la Uganda UPDF limeanza kuondoa askari wake huko Jamhuri ya Afrika ya Kati, ambao wamekuweko nchini humo tangu mwaka 2012.
-
UN yataka kukomeshwa haraka machafuko nchini CAR
Apr 05, 2017 09:41Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetaka kukomeshwa haraka iwezekanavyo, mapigano na vitendo vya utumiaji mabavu vya makundi ya wabeba silaha, Jamhuri ya Afrika ya Kati.