-
Makumi wauawa katika mashambulizi ya waasi CAR
Mar 25, 2017 11:55Zaidi ya watu 50 wameuawa katika mashambulizi yanayofanywa maasi wanaobeba silaha huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Hali ya kibinadamu yazidi kuzorota katika Jamhuri ya Afrika ya Kati
Mar 19, 2017 12:55Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa hali ya kibinadamu imeendelea kuwa mbaya katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Hali ya kibinadamu Jamhuri ya Afrika ya Kati inatia wasiwasi
Mar 09, 2017 12:56Mratibu wa Masuala ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati amesema kuwa hali ya kibinadamu nchini humo inatia wasiwasi.
-
Asasi za kimataifa zatahadharisha ongezeko la machafuko Afrika ya Kati
Feb 20, 2017 04:45Taasisi tano za kimataifa zimetahadharisha juu ya kushadidi vitendo vya ukatili nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Kikosi cha UN Jamhuri ya Afrika ya Kati kutiwa nguvu
Feb 18, 2017 04:11Umoja wa Mataifa umeamua kukitia nguvu kikosi cha askari buluu cha umoja huo kinacholinda amani katika maeneo ya katikati mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
ECCAS yatoa wito wa kukomeshwa machafuko katika Jamhuri ya Afrika ya Kati
Feb 15, 2017 12:17Jumuiya ya Kiuchumi ya nchi za Katikati mwa Afrika ECCAS imesisitiza kuwa, kuna haja ya kukomeshwa machafuko katika Jamhutri ya Afrika ya Kati.
-
Operesheni ya kupambana na waasi yaendelea CAR
Feb 11, 2017 23:31Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Afrika ya Kati ametangaza habari ya kuendelea operesheni kadhaa za kupambana na makundi yenye silaha.
-
Wanne wauawa katika machafuko mapya Jamhuri ya Afrika ya Kati
Feb 08, 2017 13:12Watu wanne wameuawa baada ya kuzuka mapigano mapya baina ya watu wenye silaha na vikosi vya kulinda usalama vya Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
UN: Hali ya usalama CAR inatia wasi wasi mkubwa
Jan 27, 2017 10:29Umoja wa Mataifa umeonyesha wasi wasi wake mkubwa kufuatia kuendelea machafuko katika baadhi ya maeneo ya katikati mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
CAR: Haki za watoto zinakiungwa sana
Jan 24, 2017 11:29Serikali ya Jamhuri ya Afrika ya Kati imeeleza wasiwasi wake mkubwa kutokana na hali mbaya ya watoto katika nchi hiyo iliyoathiriwa na vita vya ndani.