Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Afrika ya Kati

  • Minusca yatiwa wasiwasi na shambulio dhidi ya wanajeshi wake nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Minusca yatiwa wasiwasi na shambulio dhidi ya wanajeshi wake nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Jan 05, 2017 04:03

    Umoja wa Mataifa umelaani shambulio lililofanywa dhidi ya msafara wa wanajeshi wa kofia bluu kusini mashariki mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati.

  • UN yalaani machafuko Jamhuri ya Afrika ya Kati

    UN yalaani machafuko Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Nov 29, 2016 03:35

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani vikali machafuko ya hivi karibuni katika Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR)

  • UN: Hali ya mambo Jamhuri ya Afrika ya Kati inatia wasiwasi

    UN: Hali ya mambo Jamhuri ya Afrika ya Kati inatia wasiwasi

    Nov 26, 2016 11:02

    Umoja wa Mataifa umeeleza wasiwasi wake kuhusu ongezeko la ukatili na takwimu za mauaji ya raia katika mapigano yaliyoanza wiki iliyopita katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.

  • MSF: Hali ya kibinadamu Jamhuri ya Afrika ya Kati inatia wasiwasi

    MSF: Hali ya kibinadamu Jamhuri ya Afrika ya Kati inatia wasiwasi

    Nov 20, 2016 04:38

    Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka limeeleza wasiwasi wake kuhusu hali mbaya ya kibinadamu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.

  • UN: $3 billioni zahitajika  kuinusuru Jamhuri ya Afrika ya Kati

    UN: $3 billioni zahitajika kuinusuru Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Nov 18, 2016 00:23

    Dola takribani bilioni tatu zinahitajika ili kuisaidia Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR, kujikwamua baada ya miaka kadhaa ya vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyopeleka maelfu ya watu kuwa wakimbizi na kuliacha taifa hilo njia panda kiuchumi, kiusalama na kimaendeleo.

  • UNICEF yaonya kuhusu idadi ya watoto wakimbizi CAR

    UNICEF yaonya kuhusu idadi ya watoto wakimbizi CAR

    Nov 16, 2016 04:19

    Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, kati ya kila watoto watano wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, mmoja kati yao ni mkimbizi.

  • Kuendelea mgogoro wa Jamhuri ya Afrika ya Kati na haja ya kutolewa misaada ya kibinadamu

    Kuendelea mgogoro wa Jamhuri ya Afrika ya Kati na haja ya kutolewa misaada ya kibinadamu

    Nov 07, 2016 04:09

    Kuendelea mivutano na ghasia za kisiasa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati kumepelekea hali ya mambo kuwa ngumu kwa raia, na hivyo kuifanya nchi hiyo kuhitajia pakubwa hivi sasa misaada ya kibinadamu.

  • UN: Askari wetu walio nchini CAR wanajukumu la kukabiliana na machafuko na kulinda raia

    UN: Askari wetu walio nchini CAR wanajukumu la kukabiliana na machafuko na kulinda raia

    Nov 03, 2016 04:42

    Kwa mara nyingine Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Jan Eliasson amewataka askari wa umoja huo kukabiliana na machafuko na pia kuwalinda raia.

  • Kumalizika rasmi muda  wa kuhudumu wanajeshi wa Ufaransa nchini CAR

    Kumalizika rasmi muda wa kuhudumu wanajeshi wa Ufaransa nchini CAR

    Nov 01, 2016 04:23

    Waziri wa Ulinzi wa Ufaransa ametangaza kumalizika rasmi muda wa kuhudumu wanajeshi wa nchi hiyo huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.

  • Kumalizika operesheni ya kikosi cha Sangaris nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Kumalizika operesheni ya kikosi cha Sangaris nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Oct 31, 2016 04:26

    Waziri wa Ulinzi wa Ufaransa amefanya safari nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati kwa minajili ya kuhitimisha majukumu ya kikosi cha Sangaris nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS