-
Kumalizika rasmi muda wa kuhudumu wanajeshi wa Ufaransa nchini CAR
Nov 01, 2016 04:23Waziri wa Ulinzi wa Ufaransa ametangaza kumalizika rasmi muda wa kuhudumu wanajeshi wa nchi hiyo huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Kumalizika operesheni ya kikosi cha Sangaris nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati
Oct 31, 2016 04:26Waziri wa Ulinzi wa Ufaransa amefanya safari nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati kwa minajili ya kuhitimisha majukumu ya kikosi cha Sangaris nchini humo.
-
Machafuko yashtadi Jamhuri ya Afrika ya Kati
Oct 30, 2016 11:38Hali ya usalama nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati imeripoti kuwa ya kutisha.
-
Zaidi ya watu 20 wauawa Jamhuri ya Afrika ya Kati
Oct 29, 2016 11:45Askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa walioko Jamhuri ya Afrika ya Kati wamesema kuwa, watu wasiopungua 25 wameuawa katika mapigano ya hivi karibuni nchini humo.
-
Vikosi vya radiamali ya haraka vya Ufaransa kubaki CAR
Oct 27, 2016 10:52Ufaransa imesema kuwa wanajeshi wake wa radiamali ya haraka wataendelea kubakia katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu harakati za waasi wa Uganda nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati
Oct 27, 2016 08:35Kwa mujibu wa ripoti ya Umoja wa Mataifa, idadi kadhaa ya waasi wa Uganda bado wanaendeleza harakati zao nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Hali mbaya ya kibinadamu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati kufuatia kuongezeka machafuko
Oct 24, 2016 10:01Kuongezeka machafuko katika wiki za hivi karibuni katika Jamhuri ya Afrika ya Kati kumezifanya asasi zisizo za kiserikali zinazojishughulisha na masuala ya kibinadamu zitahadharishe kuhusiana na kuzidi kuwa mbaya hali ya wakimbizi wa nchi hiyo.
-
Asasi za kiraia CAR: Wakimbizi wanakabiliwa na hali mbaya ya kibinaadamu
Oct 23, 2016 00:56Asasi zisizo za kiserikali zinazojihusisha na masuala ya kibinaadamu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, zimeonya juu ya hali ambaya ya kibinaadamu inayowakabili wakimbizi wa taifa hilo.
-
Rais wa CAR awataka wananchi wadumishe mshikamano wa kijamii
Oct 21, 2016 04:35Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati amewatolea wito wananchi na makundi ya kijeshi nchini humo kufanya mapatano ya kitaifa.
-
UN yalaani kutumiwa mabavu dhidi ya raia Jamhuri ya Afrika ya Kati
Oct 14, 2016 11:37Umoja wa Mataifa umelaani kuuliwa raia katika machafuko mapya ya makundi yenye silaha huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.