-
11 wauawa, 14 watoweka katika mapigano Jamhuri ya Afrika ya Kati
Oct 06, 2016 10:53Habari kutoka Bangui, mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati zinaarifu kuwa, watu zaidi ya 11 wameuawa huku wengine 14 wakitoweka kufuatia mapigano makali yaliyojiri baada ya kuuawa mwanajeshi wa nchi hiyo ya kati kati mwa Afrika.
-
Mashirika ya misaada ya kibinadamu yasimamisha shughuli zao CAR
Oct 01, 2016 23:18Mashirika kadhaa ya kutoa misaada ya kibinadamu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati yamesimamisha shughuli zao katika nchi hiyo kwa kile yalichokieleza kuwa, ni kushambuliwa wafanyakazi wao.
-
Rais Touadéra: Jamhuri ya Afrika ya Kati inaelekea kwenye utulivu
Sep 25, 2016 00:48Rais Faustin-Archange Touadéra wa Jamhuri ya Afrika ya Kati amesema kuwa, serikali yake imetekeleza hatua za kiusalama na kijamii.
-
Waasi waua wanakijiji 26 Jamhuri ya Afrika ya Kati
Sep 18, 2016 11:07Msemaji wa Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati amesema waasi wameua makumi ya wanakijiji katika mji mmoja ulioko katikati mwa nchi hiyo.
-
Maelfu ya wakimbizi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati wamekimbilia nchini Chad
Aug 13, 2016 11:09Ofisi ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa (OCHA) imetangaza kuwa maelfu ya raia wa Jamhuri ya Afrika ya Kati wamekimbilia nchini Chad.
-
UNSC yawasilisha azimio la kusitisha machafuko CAR
Jul 28, 2016 00:21Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limewailisha azimio la kutaka kusimamishwa ghasia na machafuko nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati haraka iwezekanavyo.
-
Watu kadhaa wauawa katika machafuko mapya CAR
Jul 25, 2016 03:38Kwa akali watu watatu wameuawa katika wimbi jipya la mashambulizi ya makundi ya waasi katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Utekaji nyara watu nchini CAR waongezeka na kuogofya raia
Jul 22, 2016 03:09Asasi za kiraia nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati zimeonyesha wasi wasi wake kufuatia zaidi ya watu 300 kutekwa nyara na wabeba silaha nchini humo.
-
Ufaransa kuondoa askari wake Jamhuri ya Afrika ya Kati
Jul 14, 2016 02:06Rais Francois Hollande wa Ufaransa ametangaza kuwa nchi yake itaondoa askari wake huko Jamhuri ya Afrika ya Kati ifikapo mwezi Oktoba mwaka huu.
-
Machafuko mapya yaibuka CAR, wengi wakimbia makazi yao
Jul 08, 2016 08:38Machafuko mapya yameibuka Jamhuri ya Afrika ya Kati na kuwalazimu maelfu ya watu kukimbia makazi yao na kutafuta hifadhi katika nchi jirani za Chad na Cameroon.