-
Indhari ya UN kuhusu kuibuka upya ghasia CAR
Jul 05, 2016 09:53Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Zeid Ra'ad Al Hussein ameonya kuwa hali ya usalama na haki za binadamu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR inaweza kuanza kuzorota tena kufuatia mfululizo wa matukio makubwa ya mizozano kwenye mji mkuu Bangui na maeneo ya vijijini.
-
UN yataka kuharakishwa kupokonywa silaha wanamgambo CAR
Jul 04, 2016 22:54Umoja wa Mataifa umetaka kupokonywa silaha haraka iwezekanavyo makundi ya wanamgambo wanaobeba silaha huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Maelfu ya raia wa Jamhuri ya Afrika ya Kati wakimbilia Chad
Jul 01, 2016 23:48Duru za kuaminika zimearifu kuwa maelfu ya raia kutoka Jamhuri ya Afrika ya Kati wamekimbilia nchini Chad.
-
Afisa wa zamani wa polisi CAR atuhumiwa kunyonga raia
Jun 27, 2016 23:32Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limemtuhumu afisa wa zamani wa polisi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) kuwa amewanyonga raia kinyume cha sheria.
-
Polisi wa CAR waliotekwa nyara na wabeba silaha waachiliwa huru
Jun 22, 2016 11:05Mwakilishi wa mji wa Bambari nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, ametangaza habari ya kuachiliwa huru polisi sita wa serikali waliokuwa wakishikiliwa na wabeba silaha nchini humo.
-
Uchunguzi wa ukatili uliofanywa na askari wa Ufaransa Jamhuri ya Afrika ya Kati
Jun 21, 2016 23:37Ufaransa imeanza kufanya uchunguzi kuhusu ukatili na unyanyasaji wa kingono uliofanywa na wanajeshi wa nchi hiyo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati. Mkuu wa Mashtaka wa Paris wiki iliyopita alianzisha uchunguzi wa awali kuhusu askari wa Ufaransa wanaotuhumiwa kufanya vitendo vya unyanyasaji wa kingono katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Angola, Misri kuishawishi UN kuziondolea vikwazo CAR na S/Kusini
Jun 21, 2016 23:34Angola na Misri zimesema zitazishawishi nchi wanachama wasio wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zikubali wazo la kuondolewa vikwazo Jamhuri ya Afrika ya Kati na Sudan Kusini.
-
ICC yamhukumu Bemba wa DRC miaka 18 jela
Jun 21, 2016 10:32Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imemhukumu miaka 18 jela Makamu wa Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Jean-Pierre Bemba ambaye alikuwa anakabiliwa na tuhuma za kutenda jinai za kivita katika nchi jirani ya Jamhuri ya Afrika ya Kati kati ya mwaka 2002-2003.
-
UN yalaani kushambuliwa madaktari wasio na mipaka CAR
Jun 21, 2016 03:13Umoja wa Mataifa umelaani kushambuliwa msafara wa madaktari wasio na mipaka nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR.
-
Jamhuri ya Afrika ya Kati yawalaani wanaotaka kufufua mauaji
Jun 20, 2016 10:03Serikali ya Jamhuri ya Afrika ya Kati imeyalaani makundi ya watu ambao wanafanya njama za kurejesha ukosefu wa amani na mauaji katika mji mkuu wa nchi hiyo, Bangui.